Utakachofaidika na Chand ni zile conceptual questions mara nyingi huwa wanatoka mule.
Ila kwa calculations lazima utembee na Muncester au / na Nelkon
Mimi nilikuwa naenda extra miles, nilikuwa nikimalizana na akina Roger nilikuwa naamia kuna kitabu kinaitwa Calculations for adv Phys Volume 1 na Volume 2.
Nelkon ,Tom Duncan, universal phys, abc nilikuwa sivipendi .
Vitabu vyangu vilikuwa Chand, Roger ,Calculations for adv Phys (Volume 1&2), Kitabu Cha Respicious Kiiza, kisha namalizia na Review .
Nelkon nilikuwa naipenda O lev ,Abbot nilikuwa siipendi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣