halafu maswali ya physics huwaga yanaanza kama hadithi fulani hivi,yaani ****** mtungaji anakuvuta weeeeee anakuvuta weeeeee unakuujaaaa unakuja aaaaunaingia kwenye line zake then hapo hapo anakutupia jiwe paaaaaahhh la uso...yaani utakuta anaaza...
two stones thrown simutlaneously at a velocity of 20m/s at an angle of 60• to the horizontal,a man with a gun stand at 26m from the point of throwing,if the man has a mass of 80kg,calculate mass of the sun approximate to 6 decimal places..
ku**make hapa lazima ujambe,unaanza kujiuliza asa hapa ni topic gani,mtunzi kachanganga
projectile
calculating device
linear motion
planetary motion/gravity
error and dimension
unabaki tu kukumbuka maisha yako,marafiki zako,ndugu na jamaa,unakumbuka ulivokuwa unafaulu shule yako ya kata...unajikaza kiume mzee,unaandika data collection,unazugazuga pale na viformula basi unapoteza muda....unakusanya zako karatasi basi,unawaza hivi nimemkosea nini mungu mimi....kinyooonge unatoka class,sema ukikutana na wauni mnacheeeeeeeeekaaaaaaaaa basi unasahau na maisha ya shule yanaendelea.
nitarudi shule zote ila siyo advance ya tanzania *****....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]