Kwanini unaleta ubishi kwa kitu ambacho huna uhakika nacho Mimi niko mwaka pili kozi hii.Ninaelewa Mwanzo mpka mwisho !Nairudia tena hawachukui Clinical officer wa Tanzania
Kwanini unaleta ubishi kwa kitu ambacho huna uhakika nacho Mimi niko mwaka pili kozi hii.Ninaelewa Mwanzo mpka mwisho !Nairudia tena hawachukui Clinical officer wa Tanzania
Nenda sasa Admission office ndo utajua kila kitu zaidi!Kama upo hapo mi niliwasiliana na Dr Naburi na ndio alienielekeza hivyo na pia akanidirect kwa admission officer
Nieleze kipi?Kama boss upo hii kozi ingependeza kama ungeielezea vizuri kiundani hapa ili watu wengi wapate uelewa na kunufaika
Ukasome Bachelor of clinical medicine and surgery ,Kenya,Uganda,Malawi au Rwanda kwa miaka mitatu !ndo utakuwa qualified kusoma hii koziHivi kwa sasa hivi kama ni clinical officer nikitaka kusoma Hii nafanyaje..??
Mhhm!!!, Kumbe??.Ni kukosoe kidogo tu kwenye scale ya Mshahara ,yeye hutambulika Assistant medical officer (AMO) na mshahara wake ni level ya AMO siyo clinical officer.
Pili udahili wake wanachukua wale waliomaliza Advanced diploma in clinical medicine ,Bachelor in clinical medicine and surgery.
Tatu ,Mhitimu anaweza kusoma Master's degree in dermavenology kwa nchi za Cuba au China tu.
Nne,Kuna watu wanachanganya kwenye udahili wakihisi ile kozi wanachukua CLINICAL officer Watanzania .Wanachukua AMO tu
Ukasome Bachelor of clinical medicine and surgery ,Kenya,Uganda,Malawi au Rwanda kwa miaka mitatu !ndo utakuwa qualified kusoma hii kozi
Yes!Samahan naomba kuuliza...ukishasoma barchelor io ukija unatambulika kama AMO au nani
Yes!
TCU wanakutambua kama MD lakini MCT na MAT walikataa na hivyo wote waliosoma kozi hii kwa TANZANIA hutambulika kama AMO
Yes!Ko ukirud tanzania unafanya kazi kama AMO,hadi mshahara unabadilika kama nimeajiriwa serikalini..!
Sio hiyo tu wamekataa pia Degree ya clinical medicineYes!
TCU wanakutambua kama MD lakini MCT na MAT walikataa na hivyo wote waliosoma kozi hii kwa TANZANIA hutambulika kama AMO
Mkuu Kwan AMO hapa TZ wamerudisha?Hii course ni advance dipl ya mtu ambaye ana diploma ya clinical medicine ila shida hapa kwetu Tanzania iko kwenye muundo wa utumishi wa wizara ya afya, inatambua tu tabibu, tabibu msaidizi, daktari msaidizi, daktari na daktari bingwa, pale KCMC kuna kozi nyingine zinazofanana na hiyo ya adv dip ya Anaesthesiology, adv dip ya optometry na ya radiology (kwa sasa imesimamishwa). Changamoto ya kumsomesha CO ilikuwa ni recategorization ambapo muunda hautambui japo inatambulika ipo, nacte wameisajili, hivyo wakaruhusiwa kwa tz wachukue AMO tu ili tu waki graduate watabaki kama AMO sio tena CO mwenye adv dipl ya hiyo DV. Kama una swali niulize.
AMO bado inatambulika, muundo wa utumishi wa wizara ya afya bado ina itambua, shida ni NACTE waliisitisha kutoa hiyo kozi, sababu kuu ni kukosekana na wanafunzi hivyo kukawa na gharama kubwa ya kuiendesha kozi ( sijui kama ni kweli sababu hasa ni hiyo)Mkuu Kwan AMO hapa TZ wamerudisha?
Nakumbuka waliifuta, sijajua Kama wamefanya mabadiliko juu ya hli!
Haijakataliwa please !Sio hiyo tu wamekataa pia Degree ya clinical medicine
Haijakataliwa please !
Mpaka sasa Kuna wahitimu 7 wa BSc Clinical medicine and surgery Tanzania !wawili wako Interniship na wengine wanatambuliwa kama AMO .
Haijazuia mtu kwenda KUSOMA nje lakini haijaruhusu vyuo vya ndani kutoa kozi hii
Ada hutegemeana na chuo husika.Hivi chief kusoma barchelor ya clinical medicine ni tsh ngap ada kwa mwaka,na gpa ya ngap kutokea clinical officer..??[emoji120][emoji120]
Ndio imekataliwa, toka mwaka 2011 majadiliano yalipo anza hakuna kitu kimetokea, st joseph walianza mwaka fulani kutoa hii kozi wakazuiwa, Muundo wa utumishi wa MOH hauitambui, waanza kuitambua rasmi sio kuitambua kama AMO ambayo wanaiua taratibuHaijakataliwa please !
Mpaka sasa Kuna wahitimu 7 wa BSc Clinical medicine and surgery Tanzania !wawili wako Interniship na wengine wanatambuliwa kama AMO .
Haijazuia mtu kwenda KUSOMA nje lakini haijaruhusu vyuo vya ndani kutoa kozi hii
Ndio imekataliwa, toka mwaka 2011 majadiliano yalipo anza hakuna kitu kimetokea, st joseph walianza mwaka fulani kutoa hii kozi wakazuiwa, Muundo wa utumishi wa MOH hauitambui, waanza kuitambua rasmi sio kuitambua kama AMO ambayo wanaiua taratibu
Mbona watu ni wagumu kuelewa!Nimekwambia Tanzania tayari tunao wahitimu wa kozi hii BSc CLINICAL medicine and surgery Including me na tunatambulika kama AMO lakini TCU wanatutambua kama MD .Ni Kweli Tanzania hatuna chuo kinatoa kozi hii lakini wapo waliosoma kozi nje ya nchi na wanapiga kaziNdio imekataliwa, toka mwaka 2011 majadiliano yalipo anza hakuna kitu kimetokea, st joseph walianza mwaka fulani kutoa hii kozi wakazuiwa, Muundo wa utumishi wa MOH hauitambui, waanza kuitambua rasmi sio kuitambua kama AMO ambayo wanaiua taratibu
Mbona watu ni wagumu kuelewa!Nimekwambia Tanzania tayari tunao wahitimu wa kozi hii BSc CLINICAL medicine and surgery Including me na tunatambulika kama AMO lakini TCU wanatutambua kama MD .Ni Kweli Tanzania hatuna chuo kinatoa kozi hii lakini wapo waliosoma kozi nje ya nchi na wanapiga kazi