Hii course ni advance dipl ya mtu ambaye ana diploma ya clinical medicine ila shida hapa kwetu Tanzania iko kwenye muundo wa utumishi wa wizara ya afya, inatambua tu tabibu, tabibu msaidizi, daktari msaidizi, daktari na daktari bingwa, pale KCMC kuna kozi nyingine zinazofanana na hiyo ya adv dip ya Anaesthesiology, adv dip ya optometry na ya radiology (kwa sasa imesimamishwa). Changamoto ya kumsomesha CO ilikuwa ni recategorization ambapo muunda hautambui japo inatambulika ipo, nacte wameisajili, hivyo wakaruhusiwa kwa tz wachukue AMO tu ili tu waki graduate watabaki kama AMO sio tena CO mwenye adv dipl ya hiyo DV. Kama una swali niulize.