Advertising access restricted ndo ujumbe unaokuja ninapohitaji kubost matangazo katika page yangu ya Facebook

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu.

"Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
 
Attachments

  • Screenshot_20220622-100516.jpg
    Screenshot_20220622-100516.jpg
    85.3 KB · Views: 13
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu.

"Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
Copy hiyo error then ka paste youtube au google. Utapata solution huko.
 
Back
Top Bottom