Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
Ujasusi gani aloufanya ukafanikiwa. Hawa magenerals wake si wamefunzwa Tz hadi Kagame mwenyewe.
Emb tutoleeni kujimwambafy. Hamna kitu nyinyi. Ni propagandas tu
 
Kitu asichokitaka kagame kitokee nchini Rwanda kutoka hapa nyumbani,tayari kishatokea labda aanze upya...
 
Umeongea kwa jazba but I think watakua wamekuelewa Hawa watanganyika
 
Bongo idara iko vizur sana na wamefanikiwa sana hao Rwanda akitaka wawashe moto tiwazime
Ndani ya dakika sifuri. Shida ya wabongo wengi huwa hawana taarifa juu ya jeshi letu na hii inatokana kwamba huwa taarifa za jeshi hazitolewi hovyo hadharani.
 
Balozi ni jasusi!!...
 
Kama wanaujasusi wakutosha mbona tulisha wapiga Kongo, walipo zuga Kwa njia ya uasi wa M23, acheni Kuwa mwambafai sana,
Mliwapiga Congo DR au mliwakimbia?
 
Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
Asante sana Mkuu kwa Kunielimishia hilo Juha ( Zuzu ) la Kiswahili.
 
Tanzania ndio imelala, badala ya kujaza watu ambao wako vizuri kichwani imejaza makada wa chama
Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.
 
Zuzu ( Juha ) Kuu la JamiiForums adriz limeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…