luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wewe n mswahili sana blah blah nyingi utafikiri Rwanda n kubwa kama Congo kumbe n ndogo sana kuliko mara.Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Honey trapRwanda hawana kiwango chochote cha ujasusi zaidi ya kuwa na madem wazuri
Maelezo marefu halafu ni Takataka tupu.Halafu hii ishu ya Rwanda kuwa ni wazuri kwa Intelligence usikute ni notion imekuzwa na mpuuzi mmoja ambae hata huko rwanda hakawaji kufika, kibaya zaid wana compare Rwanda na TZ , ni mambo ya aibu ... Rwanda kwa tanzania ni kama kijiji kidogo sana. Nadhani hata mkoa wa Kilimanjaro tu ni mkubwa kuliko Rwanda.
Kitu kimoja cha kuwasaidia, foundation ya nchi iliyoimarika kiulinzi na usalama haijengwi na kichwa kimoja, huwezi kusema Kagame ni smart ambae kazi yake kubwa ni kuuWa wapinzani na kutisha raia wenye mawazo hasi. Na hili ndio kosa la nchi za Africa, Rwanda haina chochote cha kuchunguza , kwa akili za Kagame , Hata TZ Asingeweza kuongoza. Mnaikuza sana Rwanda pasipo kuwa na full information.
Hakuna nchi stable inayoongozwa na kichwa kimoja Then ikawa na Strong security state hasa kwa Africa , Kagame is old na anaprotect ugali wake , Hana cha maana zaid ya ukatili kwq wapinzani wake
Mbona na Sisi tumejazana katika Majeshi yenu na Taasisi zenu Nyeti huku tukiwasomeni na Kuwasanifu tu? Thubutuni Kutuchokoza Rwanda muone kama Tanzania yenu haijawa Mali rasmi ya Rwanda.Barozi wa Rwanda nchini Tanzania ni jenerali(mjeshi? Na sisi tumewaletea mwanajeshi Sasa
Angalia Juha ( Zuzu ) jingine hili. Sasa kama kuandika tu vyema Neno Jela huwezi na umekosea kwa kuandika Jera utaweza kweli kuwa na Madini ya Kuchangia huu Uzi unaohitaji IQ Kubwa Kuuchangia?Hakuna kitu pale,vijana wao walifanya mission ya kumuua mpinzani wa kagame,kule SA,wakafanikiwa,lakini wakakamatwa!wapo wanaozea jera.
Jifunze kwa Urusi,FSB/KGB ya zamani wakipiga mishe ulaya,mpaka Scotland yard au MI5,MI6(intelligence agencies za UK)zije zigundue,tayari majasusi wameishakwea pipa,hawapo,ni maiti za victim ndio zimejaa kitaa
Pumbavu hivi nimekulazimisha Uchangie Uzi wangu huu kama unajua kuwa Hunipendi na huwa Unachukizwa na Mada zangu? Ndiyo maana huwa Nawadharau hapa Kutwa tu.Wewe akili huna , trust it . Na hata kuendelea kuchangia uzi wako ni kupoteza Muda . Huna data but unaongea kwa story za vijiweni na Blah Blah . Nilitegemea kuona unakuja na data dhidi ya claims zako kuwa Rwanda ni Strong In EACs kwa kuwa wana bajeti kubwa ya jeshi kushinda nchi yoyote , wana active solders wangapi, wana technology mpya ya kijeshi, wana vifaa vya aina gani vya kijeshi.
Intelligence yao imekuwa automated kwa asilimia Ngapi .... etc etc
Badala yake unaandika maneno maneno huku ukionesha huna hoja ya msingi zaidi ya kupotezea watu Muda. Kuchangia uzi wako ni kupoteza Muda ,
Kama ulivyo Wewe.Kumbe nawe ni kipua [emoji3]
Huo Mkoa na Wewe nchi nani hivi sasa ana Maendeleo ya Kumzidi Mwenzie?yaani nchi ikaupeleleze mkoa?
Hivyo hivyo hakuna Kitu kuhusu Tanzania ni Kigeni kwa Rwanda.Hakuna kitu kuhusu Rwanda ni kigeni kwa TZ
Na hii ndiyo maana ya Mtu / Kiongozi mwenye Akili ( Genius ) kabisa na siyo wale wengine 'Goi Goi' Barani Afrika wanaosubiri Kushauriwa Kutwa na Mafisadi huku wakiwa wanakunywa tu Whiskey au Wine katika Ikulu zao.Kagame ana akili ya kutumia rasilimali zote za nchi yao kwa manufaa ya nchi nzima!!
Siku zote Mchawi humjua Mchawi Mwenzake.Una IDs nyingi sana
Absolute Nonsense.....!!!!Wewe n mswahili sana blah blah nyingi utafikiri Rwanda n kubwa kama Congo kumbe n ndogo sana kuliko mara.
Inawezekana stori za vijiweni zimekuharibu pia ujifunze sio kila kitu unaweza kukiwasilisha kwa uzani uliolala ili upate mawazo unayoyafikiria.
Ukwel n Rwanda Wana dikteta SMART sana pia kupitia Vita vya Congo Rwanda imekubali kuwa kiini Cha Vita hvyo kupitia kwa USA na baadhi ya European countries tofauti na hapo Tanzania inaweza kumshughulikia vizuri sana huyo mtoto na asipige kelele.
Nani aliyekudanganya kuwa Tanzania nayo haikwapui Natural Resources za Congo DR?Hako ka nchi kana kwapua Midhahabu ya DRC bila uwoga
Binafsi si kapendi yaan nimetokea kukachukia gafla
Wakiongozwa nawe Rais wao wa Undezi.Mhh, ndezi ni wengi sana hapa duniani.
Huo Mkoa na Wewe nchi nani hivi sasa ana Maendeleo ya Kumzidi Mwenzie?
Rubbish.....!!!chumba kimoja na ghorofa ni tofauti.
Nipe mission yao kubwa moja tu ya kijasusi afu nikupe kama hamsini zile kubwa haswaMlipukutika wengi sana tu ila mlificbwa.