Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Hako ka nchi kana kwapua Midhahabu ya DRC bila uwoga


Binafsi si kapendi yaan nimetokea kukachukia gafla
 
Mtoto uzae mwenyewe alafu akutishe? Hizi nchi zinazotuzunguka ukitoa Kenya tunalea wenyewe ndio maana heshima yao hapa ni ile ya mtoto kwa mzazi! Ukizingua ni fimbo tu.

Unajua M23 baada ya kichapo heavy walikuwa wanatorekea wapi? option ilikuwa ni hii, ubaki Kongo JWTZ wakufyeke au ukubali mtego wa kumkimbilia aliyekutuma tumuonye! Mama mkanye mwanao!
 
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.

Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Wewe n mswahili sana blah blah nyingi utafikiri Rwanda n kubwa kama Congo kumbe n ndogo sana kuliko mara.

Inawezekana stori za vijiweni zimekuharibu pia ujifunze sio kila kitu unaweza kukiwasilisha kwa uzani uliolala ili upate mawazo unayoyafikiria.

Ukwel n Rwanda Wana dikteta SMART sana pia kupitia Vita vya Congo Rwanda imekubali kuwa kiini Cha Vita hvyo kupitia kwa USA na baadhi ya European countries tofauti na hapo Tanzania inaweza kumshughulikia vizuri sana huyo mtoto na asipige kelele.
 
Halafu hii ishu ya Rwanda kuwa ni wazuri kwa Intelligence usikute ni notion imekuzwa na mpuuzi mmoja ambae hata huko rwanda hakawaji kufika, kibaya zaid wana compare Rwanda na TZ , ni mambo ya aibu ... Rwanda kwa tanzania ni kama kijiji kidogo sana. Nadhani hata mkoa wa Kilimanjaro tu ni mkubwa kuliko Rwanda.

Kitu kimoja cha kuwasaidia, foundation ya nchi iliyoimarika kiulinzi na usalama haijengwi na kichwa kimoja, huwezi kusema Kagame ni smart ambae kazi yake kubwa ni kuuWa wapinzani na kutisha raia wenye mawazo hasi. Na hili ndio kosa la nchi za Africa, Rwanda haina chochote cha kuchunguza , kwa akili za Kagame , Hata TZ Asingeweza kuongoza. Mnaikuza sana Rwanda pasipo kuwa na full information.

Hakuna nchi stable inayoongozwa na kichwa kimoja Then ikawa na Strong security state hasa kwa Africa , Kagame is old na anaprotect ugali wake , Hana cha maana zaid ya ukatili kwq wapinzani wake
Maelezo marefu halafu ni Takataka tupu.
 
Barozi wa Rwanda nchini Tanzania ni jenerali(mjeshi? Na sisi tumewaletea mwanajeshi Sasa
Mbona na Sisi tumejazana katika Majeshi yenu na Taasisi zenu Nyeti huku tukiwasomeni na Kuwasanifu tu? Thubutuni Kutuchokoza Rwanda muone kama Tanzania yenu haijawa Mali rasmi ya Rwanda.

Halafu hakuna Neno Barozi kama ulivyoandika bali kuna Neno sahihi la Balozi sawa? Unajifanya Mtanzania halafu hata Kiswahili tu hujui na unazidiwa nami Mnyarwanda Mtanzania.
 
Hakuna kitu pale,vijana wao walifanya mission ya kumuua mpinzani wa kagame,kule SA,wakafanikiwa,lakini wakakamatwa!wapo wanaozea jera.
Jifunze kwa Urusi,FSB/KGB ya zamani wakipiga mishe ulaya,mpaka Scotland yard au MI5,MI6(intelligence agencies za UK)zije zigundue,tayari majasusi wameishakwea pipa,hawapo,ni maiti za victim ndio zimejaa kitaa
Angalia Juha ( Zuzu ) jingine hili. Sasa kama kuandika tu vyema Neno Jela huwezi na umekosea kwa kuandika Jera utaweza kweli kuwa na Madini ya Kuchangia huu Uzi unaohitaji IQ Kubwa Kuuchangia?
 
Wewe akili huna , trust it . Na hata kuendelea kuchangia uzi wako ni kupoteza Muda . Huna data but unaongea kwa story za vijiweni na Blah Blah . Nilitegemea kuona unakuja na data dhidi ya claims zako kuwa Rwanda ni Strong In EACs kwa kuwa wana bajeti kubwa ya jeshi kushinda nchi yoyote , wana active solders wangapi, wana technology mpya ya kijeshi, wana vifaa vya aina gani vya kijeshi.
Intelligence yao imekuwa automated kwa asilimia Ngapi .... etc etc

Badala yake unaandika maneno maneno huku ukionesha huna hoja ya msingi zaidi ya kupotezea watu Muda. Kuchangia uzi wako ni kupoteza Muda ,
Pumbavu hivi nimekulazimisha Uchangie Uzi wangu huu kama unajua kuwa Hunipendi na huwa Unachukizwa na Mada zangu? Ndiyo maana huwa Nawadharau hapa Kutwa tu.
 
Kagame ana akili ya kutumia rasilimali zote za nchi yao kwa manufaa ya nchi nzima!!
Na hii ndiyo maana ya Mtu / Kiongozi mwenye Akili ( Genius ) kabisa na siyo wale wengine 'Goi Goi' Barani Afrika wanaosubiri Kushauriwa Kutwa na Mafisadi huku wakiwa wanakunywa tu Whiskey au Wine katika Ikulu zao.
 
Wewe n mswahili sana blah blah nyingi utafikiri Rwanda n kubwa kama Congo kumbe n ndogo sana kuliko mara.

Inawezekana stori za vijiweni zimekuharibu pia ujifunze sio kila kitu unaweza kukiwasilisha kwa uzani uliolala ili upate mawazo unayoyafikiria.

Ukwel n Rwanda Wana dikteta SMART sana pia kupitia Vita vya Congo Rwanda imekubali kuwa kiini Cha Vita hvyo kupitia kwa USA na baadhi ya European countries tofauti na hapo Tanzania inaweza kumshughulikia vizuri sana huyo mtoto na asipige kelele.
Absolute Nonsense.....!!!!
 
Hako ka nchi kana kwapua Midhahabu ya DRC bila uwoga


Binafsi si kapendi yaan nimetokea kukachukia gafla
Nani aliyekudanganya kuwa Tanzania nayo haikwapui Natural Resources za Congo DR?

au unataka tuanike hapa Biashara aliyokuwa akiifanya Afande wenu Mwakibolwa kule Congo DR kwa Niaba ya Tanzania na hasa hasa kwa Kushirikiana na Rais wenu Mstaafu Mswahili?

Huna unachokijua na nashauri nyamaza.
 
Back
Top Bottom