Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Na 99% yao wapo katika almost Idara zao Nyeti na Kubwa wakiendelea Kuisoma zaidi Tanzania Kiuimara na Kiudhaifu pia.
Pole sana kwa taarifa kila selikal inakuwa na watu wake katika idara nyet ndani ya nchi ya watu kuna mnyarwanda amewah kamatwa hapa na alisanuliwa na mt aliyepo rwanda

Wao akatushwa wetu hakujulikana mpaka leo anakula bata

Huku wakimbiz wengi wa rwanda wapo mishamo na katumba mkoa wa katav na hawana ishu zaid ya urembo
 
Mbona na Sisi tumejazana katika Majeshi yenu na Taasisi zenu Nyeti huku tukiwasomeni na Kuwasanifu tu? Thubutuni Kutuchokoza Rwanda muone kama Tanzania yenu haijawa Mali rasmi ya Rwanda.

Halafu hakuna Neno Barozi kama ulivyoandika bali kuna Neno sahihi la Balozi sawa? Unajifanya Mtanzania halafu hata Kiswahili tu hujui na unazidiwa nami Mnyarwanda Mtanzania.
LEO NDO NIMEGUNDUA WE JAMAA MSHAMBA MSHAMBA TU
 
Hiyo ni political fear waliojengewa wananchi wa kule
Sirikali yao inafatilia hata mambo ya kawaida nadhani ni tahadhari ya kuogopa yasitokee yale ya 1990s..
Serikali ya tz iko vizuri sana sema haifatilii mambo ya hovyo kwa mfano hapa nimeshakula lunch nimeshiba naenda zangu kijiweni kuisema serekali..kule rwanda hata kijiweni ukianzisha mada za kuichambua serekali watu hawakujibu .. Na ukiendelea wanatawanyika
huk bongo Shiba nenda kijiwen mnaanz kuchambua Kila k2 kama vile rais na mawazir wake
 
Tanzania hawawafikii Rwanda kabisa kabisa kwakuwa na watoto wakali,ukweli tuuseme tu.
Ni wakali kweli na ukali pia wakali ukioa ndio utajua kweli wakali .Huwezi mpelekesha mwanamke wa kinyarwanda ila kidume ndie utapelekeshwa hadi ukome
 
Mlipukutika wengi sana tu ila mlificbwa.
Waliopukutika wengi ni mission iliofanyika kwenye utawala wa awamu ya tano tena na wao kilichowaponza walizuiliwa kujibu mashambulinzi tena hata hivo wao wapo kule kulinda amani .lakini majamaa yakawavamia .lakini kwa ujumla vijana wetu wako vizuri sana tu kwenye ukanda wetu
 
Mh mkuu yaan mtu aifananishe Nairobi na London ? Avha utani na maisha ww ....

Mkuu itakua huwajui watanganyika vizuri. Watanganyika wanaamini hakuna mji kama Nairobi na huu ni utani unaosemwa na wakenya wenyewe meaning wanawaona washamba kwa nyie kusifia zaidi mji wao kuliko London.

Angalia mitaani mitanganyika mingapi inavaa cultures za Kenya afu niambie kama umewahi kuona mkenya yeyote au jirani yeyote kavaa culture ya TZ.
 
Ugomvi na Tanzania ni baada ya udukuzi wa kibabe tulioufanta huko rwanda,rwanda ni open book kwa tanzania
 
Back
Top Bottom