jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Pole sana kwa taarifa kila selikal inakuwa na watu wake katika idara nyet ndani ya nchi ya watu kuna mnyarwanda amewah kamatwa hapa na alisanuliwa na mt aliyepo rwandaNa 99% yao wapo katika almost Idara zao Nyeti na Kubwa wakiendelea Kuisoma zaidi Tanzania Kiuimara na Kiudhaifu pia.
Wao akatushwa wetu hakujulikana mpaka leo anakula bata
Huku wakimbiz wengi wa rwanda wapo mishamo na katumba mkoa wa katav na hawana ishu zaid ya urembo