Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Na 99% yao wapo katika almost Idara zao Nyeti na Kubwa wakiendelea Kuisoma zaidi Tanzania Kiuimara na Kiudhaifu pia.
Rwanda hata akiwa na idara mzuri ya Usalama kwa 100, akianzisha choko choko hata Siku 10, hazifiki tumeshaichakaza.
Tena hata bila kuingia ndani ya nchi yao.
 
Ha ha ha .eti naendazangu kijiweni kuisema serekali[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji23][emoji28][emoji28] usimcheke usicheke na bunge la bajeti limeaza hivi mpaka wanapigana na hakuna mtu Wala polisi watajitokeza kukubeba umemsema vibaya mwigulu waziri wafedha....sidhani kwa Burundi au Rwanda Kama ipo hiyo
 
moja ya watu wasioeleweka ni huyu jamaa aliyeandika huu uzi mara hajifanye mnyarurwanda mara anajifanya mwenyeji wa mkoa wa mara ni mjinga mmoja anaejifanya mjuaji
 
Hahahaaaa mtutsi katika ubora wako, rudi kwenu kigali ukashangilie APR
 
Mods huu uzi mkiufuta mtakuwa mmeitendea nchi yetu haki. Thread hii inaaibisha Taifa sana tu.
 
Uko sahihi totoz zilizopo babati na singida acha tu
 
uko sahii ujasusi wao wakutumia wanawake wao basi hakuna lingine,wanawake wa kitutsi ni mashushu sana
Dah uko sahihi kuna siku niko zangu kigari nashangaa demu ananitongoza
 
Huyu boya huenda hata sio mtutsi huwa hawajisemi ukiona mtu anajisema ujue ni koko
 
We ngeke sio mtutsi
 
Ifike wakati watanzania tupunguze uoga!Hadi Rwanda nayo
 
Karatu pia bila kuisahau kuna pisi Kali Sana tusiwe vyetu[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…