Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.
Mitanganyika inaona Nairoib ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.
Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanaongea pidgin English. SMH
Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.
Mitanganyika ya hovyo sana.