Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Mh mzee ww kama husafir basi kaa tu kimyaa, ukiingia Namanga upande wa Kenya, nenda Taita taveta utaona hao wa kenya wengi tu wana vaa izo culture za Tz, na mpaka zile jezi za Taifa starsz,Unguja na pemba .....

Acha kuji under rate mkuu,
 
Kuna juha zaidi yako humu au hujui reputation yako hapa jukwani? Uliza uambiwe
Kajamaa kandezi halafu kana ushamba mwingi mno ,ukimkosoa kwenye mada unaambulia maneno ya kejeli au matusi na ukimsapoti hata kwenye upuuzi anakupa IQ na ugenius nimegundua bora niache kumquote kuokoa muda
 
Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.
Wambie ndugu zako wajaribu,hata M23 walitishia hivyo hivyo..whetr are they now?,ukiona mtu anatishatisha kwamba anajua kupigana ujue hamna kitu...rusheni hata jiwe muone..nyau nyie!
 
Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.
Battle kivipi .???? Au bado katika nini ????
Karwanda ni kamkoa tu hakana jipya na hakana mtu wa kumtisha...
Kashindwa kujasusia hata burundi ndio aiweze tz mwe mwee mweee...hadi huruma
 

wewe ndyo wa hovyo!! Kila anaezungumza kiswahili unadhani mtanzania
Unajua huyo aliyeleta mada n raia wa nchi gan??

una list ya watz wanaosifia rwanda…
au una list ya mambulula wenzio
 
wewe ndyo wa hovyo!! Kila anaezungumza kiswahili unadhani mtanzania
Unajua huyo aliyeleta mada n raia wa nchi gan??

una list ya watz wanaosifia rwanda…
au una list ya mambulula wenzio

Huyo pimbi mbona Kila mtu anamfahamu yupo Moro hapo.

Anza Leo kuangalia wavaaji culture za Kenya bongo afu tafuta kama Kuna mkenya hata mmoja amewahi Vaa culture za bongo.
 
Hapo zaman za kale kuna bwwna mmoja alitaka kutufikisha huko Mungu akatenda yske!
 
Ninqchoipendea tz kwa ukanda wetu hakuna mjinga yoyote anayeweza kutusumbua kijeshi na kidiplomasia!! Hata wakiungana,
 

Ni ujinga ulio tukuka kukaa mnakisifu ki nchi ambacho kukiwa na vifaru 100 vyote vikavyatuliwa makombola kwa pamoja Ka nchi kameisha hiv mnajua kuwa Tz ndio ilio unda jeshi la Uganda na Jeshi la Rwanda lilianza kwa kujifunza kutoka Uganda hivyo Nchi hizo zote mbili mwalimu wao mkuu ni Tz sababu inayo wafanya muone eti ka Rwanda ni katishio hapa Africa mashariki nini hasa ni huo ununda wa kagame kukamata na kuuwa wanao mpinga au nini hasa yaan ni sawa na mtu leo a hisi Kuwa Korea kaskazini ni m babe thidi ya marekani kisa nini eti kwasababu rais wa korea ni nunda anaua wanao mpiga na kurusha rusha makombola huko hebu mnao isifia Rwanda leteni orodha ya vita ilio wahi kupigana na nchi nyingine ikashinda lete au leteni orodha ya misheni ambazo Rwanda ilishiriki ikashinda au kuleta okomboz katika nchi husika kila siku mnaleta kelele tu Rwanda Rwanda Kagame Kagame mtu mwoga hata kuwaacha wananchi wajadili mambo ya nchi yao kuachia siasa za vyama vingi kuachia uhuru wa wanao pingana nae hataki bado mnamwona mwaaaamba
 
In East and Central Africa no country can touch Rwanda

[emoji23] [emoji23] iliwahi pigana na nchi gani ikashinda nini kinacho kufanya ufikir et no country can touch Rwanda [emoji23] hiv mnachukuliaje Tz nyinyi wapiga vinubi wa kagame Tanzania ni moja ya nchi inayo ogopwa na kuheshimika kusini mwa jangwa la Sahara kijeshi hiv mwalimu unaweza mfananisha na mwanafunzi kweli TZ imeshiriki misheni nyingi chini ya jangwa la Sahara nyakati za ukombozi mpaka nyakati za nchi huru za Africa nchi nyingi wanajeshi wake wamepitia kufunzwa Tz haya wekeni hata nchi moja ilio wahi saidiwa na Rwanda kwenye ukombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…