Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Ndiyo unavyofikiria??Hivyo hivyo hakuna Kitu kuhusu Tanzania ni Kigeni kwa Rwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo unavyofikiria??Hivyo hivyo hakuna Kitu kuhusu Tanzania ni Kigeni kwa Rwanda.
Kajamaa kandezi halafu kana ushamba mwingi mno ,ukimkosoa kwenye mada unaambulia maneno ya kejeli au matusi na ukimsapoti hata kwenye upuuzi anakupa IQ na ugenius nimegundua bora niache kumquote kuokoa mudaKuna juha zaidi yako humu au hujui reputation yako hapa jukwani? Uliza uambiwe
Sema kweli mkuu?Ugomvi na Tanzania ni baada ya udukuzi wa kibabe tulioufanta huko rwanda,rwanda ni open book kwa tanzania
🤣🤣🤣Rwanda ina nini zaidi ya akiba ya mafuvu milioni moja yaliyosalia kwenye mauaji ya kimbari?
Kila siku yeye niwaku lalamika tu eti nchi yangu ni ndogo...n.k.Kagame ana wasiwasi kila saa utadhani anaoga nje.
Wambie ndugu zako wajaribu,hata M23 walitishia hivyo hivyo..whetr are they now?,ukiona mtu anatishatisha kwamba anajua kupigana ujue hamna kitu...rusheni hata jiwe muone..nyau nyie!Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.
Sema General wetu. Ukisema Major umemshusha saana cheo.tusije tukampoteza major wetu .akafanye kazi za ubalozi tu,ya ufukunyuku aachame nayo.wale ni zaidi Ya maspy aise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Battle kivipi .???? Au bado katika nini ????Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.
In East and Central Africa no country can touch Rwanda
Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.
Mitanganyika inaona Nairoib ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.
Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanaongea pidgin English. SMH
Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.
Mitanganyika ya hovyo sana.
wewe ndyo wa hovyo!! Kila anaezungumza kiswahili unadhani mtanzania
Unajua huyo aliyeleta mada n raia wa nchi gan??
una list ya watz wanaosifia rwanda…
au una list ya mambulula wenzio
Hapo zaman za kale kuna bwwna mmoja alitaka kutufikisha huko Mungu akatenda yske!Hiyo ni political fear waliojengewa wananchi wa kule
Sirikali yao inafatilia hata mambo ya kawaida nadhani ni tahadhari ya kuogopa yasitokee yale ya 1990s..
Serikali ya tz iko vizuri sana sema haifatilii mambo ya hovyo kwa mfano hapa nimeshakula lunch nimeshiba naenda zangu kijiweni kuisema serekali..kule rwanda hata kijiweni ukianzisha mada za kuichambua serekali watu hawakujibu .. Na ukiendelea wanatawanyika
Ninqchoipendea tz kwa ukanda wetu hakuna mjinga yoyote anayeweza kutusumbua kijeshi na kidiplomasia!! Hata wakiungana,Kagame alijaribu kutingisha kiberiti kwa Jakaya anavyomuona anacheka cheka hakumjua vyema
Jakaya alimpa makavu live kule Adis ababa kuwa kama umeshindwa kuwamaliza maadui zako kwa miaka zaid ya 20 maana yake kuna haja ya kuzungumza nao
Akaanza fyoko fyoko mwenyewe akaufyata
Iddy Amin alitisha na kutingisha ukanda huu kuliko Kagame lakini alipokanyaga vibaya 'cable' tulimsambaratisha
Huyu angepigwa kutokea Burundi, Congo, Uganda tena kwa msaada mkubwa sana wa wanyarwanda wenzie waliemchoka
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
In East and Central Africa no country can touch Rwanda