Kuna ndoto za Mungu na ndoto za shetani, ndoto za Mungu ni maono na sio za kupuuzwa hata kidogo!.
Hili sikuwahi kulisikia popote!.
Hivi ndivyo mambo ya Mungu yanavyokuwaga!, hata Samia hakujua, alijikuta tuu amekuwa, sisi wa jicho la tatu, tunaiangazia sana ndoto yako hii na kui scrutunize kama ni ndoto ya Mungu au ni ya shetani. Kama ni ya Mungu, tutamshauri ..., 2025 itoshe, kama ni ndoto ya shetani, tutamshauri kuendelea na mpango wake mbele kwa mbele.
Kitu kama hiki hata mimi nilielezwa, ila mimi sikuelezwa kwenye ndoto, mimi nilielezwa kwenye sauti
HII na nikashauri!
Anayepanga nani awe rais wetu sio wewe, sio yeye, bali ni YEYE, ndiye anayepanga marais wa nchi na serikali za mataifa, jivyo ndoto yako ni ya Mungu, huwezi kuzuia alilolipanga YEYE, , ili natofautiana wewe kuhusu huyu dogo!.
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President na hapa
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
JM ni Presidential Materiale ya ukwee..., yuko kama Barack Obama.