Lengo la katiba ni kuleta maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Lakini katika nchi ambazo ni "Failed states", katiba haina maana yoyote na haibadilishi lolote lile sana sana wachache ndio wanafaidika na walio wengi wanazidi kudidimia ktk umasikini.Katiba haileti maendeleo.
Sasa kwanini na ninyi msifuate UK badala yake mnatumia muda mwingi na pesa nyingi katika kuandika "useless Constitution?".UK hawana katiba iliyo kwenye documents.
Countries With Uncodified Constitutions
While most countries of the world have a well-written, codified constitution, a few countries rely instead on multiple documents for help with decision-making.www.worldatlas.com
Ninyi hiyo katiba mpya imebadilishaje maisha na " attitude" yenu?. Bado mnathamini lugha ya mkoloni, bado ardhi yenu iko chini ya wakoloni, bado majaji wenu wanavaa nywele za wakoloni. " Kenya not yet Uhuru".Unamaanisha katiba ya mkoloni au? Maanake navojua mimi ni kwamba kando na 'ammendments' kidogo ambazo mlifanya mwaka wa 1977, katiba ya Tz ni ile ile ya mabeberu.
Tumejitawala, tunamiliki uchumi WETU wenyewe, tunatumia lugha yetu wenyewe, ardhi na uchumi tunaumiliki sisi wenyewe, sio kama ninyi bado mambo Mengi ikiwemo ardhi na biashara nyingi zipo chini ya wazungu.Hivi Tanzania nayo ina katiba? Au ni pale tu mtu anapofungua domo lake yanayomtoka ndio inakuwa sheria mama
Hahahaha, Hahahaha, haiko na katiba lakini iko na Amani, ninyi mkichinjana huwa tunakuja kuwapatanisha.Kwani Danganyika iko n katiba?? ?
Hahahaha, Hahahaha, haiko na katiba lakini iko na Amani, ninyi mkichinjana huwa tunakuja kuwapatanisha.
Linchi lipo namba 7 Africa, na namba 54 Duniani kwa amani, Kenya ipo namba 45 Afrika, na 123 duniani kwa Amani. Endeleeni kuchinjana ili tuje kuwasuluhisha. Vipi nyama ya Jaluo, Leo umekula?Wakati mnachinja Albino na kuwala watoto wachanga mnadhani kuna amani hapo. You are Devils you imbeciles. Hilo liinchi liko wapi?
Unakariri tu pumba na vitu vya kipuuzi. Ila ukweli unaujua, katiba yenu ya karne iliyopita imewakwaza kweli kweli. Hadi haki msingi ya kupata habari, takwimu na data kutoka kwa mihimili yote ya serikali mnanyimwa. Vitu vya kawaida kwa wenzenu kama hivi hapa, Bunge Live, huwa mnaviona tu kwenye movie. Yaani mnaishi kianalogue wakati dunia inasonga mbele kwenye nyakati za kidigitali, ni aibu kubwa.Ninyi hiyo katiba mpya imebadilishaje maisha na " attitude" yenu?. Bado mnathamini lugha ya mkoloni, bado ardhi yenu iko chini ya wakoloni, bado majaji wenu wanavaa nywele za wakoloni. " Kenya not yet Uhuru".
Linganisha kati ya kuangalia "Bunge live" na Kuwepo kutokuwepo kwa rushwa, kipi ni muhimu?, kupata habari na kupata amani kipi muhimu?, takwimu na ukabila lipi muhimu?, katiba na amani, kipi muhimu?.Unakariri tu pumba na vitu vya kipuuzi. Ila ukweli unaujua, katiba yenu ya karne iliyopita imewakwaza kweli kweli. Hadi haki msingi ya kupata habari, takwimu na data kutoka kwa mihimili yote ya serikali mnanyimwa. Vitu vya kawaida kwa wenzenu kama hivi hapa, Bunge Live, huwa mnaviona tu kwenye movie. Yaani mnaishi kianalogue wakati dunia inasonga mbele kwenye nyakati za kidigitali, ni aibu kubwa.
Enjoy.
Yaani kuna vitu ambavyo haviwezi vikafichika virahisi. Utawala wa kisheria na kikatiba sio lazima uwe wa katiba mpya. Katiba ya sasa wanainajisi kama ilivyo na kuiponda Kenya haitobadilisha chochote. Ingekuwa vyema kama wangejikita kwenye kujiboresha na kuhakikisha kwamba mihimili yote ipo huru kutekeleza wajibu wao. Tutakapo ona mahakama za Tz zikibatilisha uchaguzi wa urais. Tena kesi yenyewe iwe live kwa Tv zote, ndio nitakubali kwamba wana haki ya kuikashifu Kenya kwenye masuala ya katiba na utawala wa kisheria. Kama hivi;Hivi Tanzania nayo ina katiba? Au ni pale tu mtu anapofungua domo lake yanayomtoka ndio inakuwa sheria mama
Tanzania sio nchi ya showoff kama ninyi. Kitu muhimu kwa binadamu yeyote awe na katiba au asiwe na katiba, abachohitaji ni AMANI, kama nchi haina amani hata mlete katiba toka mbinguni, au MAHAKAMA zionyeshe live duniani kote, haina faida yoyote kwa wananchi.Yaani kuna vitu ambavyo haviwezi vikafichika virahisi. Utawala wa kisheria na kikatiba sio lazima uwe wa katiba mpya. Katiba ya sasa wanainajisi kama ilivyo na kuiponda Kenya haitobadilisha chochote. Ingekuwa vyema kama wangejikita kwenye kujiboresha na kuhakikisha kwamba mihimili yote ipo huru kutekeleza wajibu wao. Tutakapo ona mahakama za Tz zikibatilisha uchaguzi wa urais. Tena kesi yenyewe iwe live kwa Tv zote, ndio nitakubali kwamba wana haki ya kuikashifu Kenya kwenye masuala ya katiba na utawala wa kisheria. Kama hivi;
Unaruka ruka tu bila formular. Hujui lolote kuhusu katiba, utekelezaji wa katiba wala utawala wa sheria. Habari zote ambazo unazisikia kuhusu rushwa na vita dhidi ya ufisadi ni kwasababu ya hiyo hiyo katiba. Katiba ya Kenya imewapa watu uhuru wa kuhoji, kuonesha hisia zao na kufukua chochote kile ambacho wanataka, bila uoga! Tena chini ya katiba ya Kenya ni haki ya kila mwananchi kupata habari au takwimu zozote ambazo ataagiza kutoka kwa serikali. Hivi vitu havikuwa hapo awali na ndio maana haimaanishi kwamba hapo awali hakukuwa na uovu wowote ule. Nyinyi hata kumhoji tu rais kuhusu 1.5 Tr. hamuwezi mkathubutu. Eti kutoa takwimu ambazo hazijatoka kwa serikali ni hatia.Linganisha kati ya kuangalia "Bunge live" na Kuwepo kutokuwepo kwa rushwa, kipi ni muhimu? Kupata habari na kupata amani kipi muhimu?, Wanalalamika punda anechoka, nchi inazidi wa na Madeni. Wakenya wengi wanaomba kuja kuishi Tanzania, nchi yenu hovyo kabisa.
Amani ya wafia chama na wasifia mungu mtu ndio unaongea kuhusu? Ipo wapi amani ya hao wengine waliosalia, au wao sio watanzania wenzako? Haki zao ambazo zimelindwa kwenye katiba zikivurugwa bado unasema kwamba wao wana amani? Yaani wapigwe risasi, wakata katwe kwa mapanga, wauawe, wapotezwe, watekwe na wasiojulikana, mikutano yao iharamishwe, gazeti zifungwe alafu bado unasema kwamba wanaishi kwa amani? Umerogwa wewe?Tanzania sio nchi ya showoff kama ninyi. Kitu muhimu kwa binadamu yeyote awe na katiba au asiwe na katiba, abachohitaji ni AMANI, kama nchi haina amani hata mlete katiba toka mbinguni, au MAHAKAMA zionyeshe live duniani kote, haina faida yoyote kwa wananchi.