Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Baada ya Kenya kuwa na katiba mpya nilitegemea kutakuwa na maendeleo lakini leo wakenya wanazidi kuwa maskini wakati wanasiasa wakizidi kuwa mabilionea.
Ingekuwa vizuri kwa wakenya kurudi kwenye mfumo wa zamani wa serikali ili maendeleo yapatikane. Hii mambo ya magavana na county ni hasara kubwa sana kwani fedha nyingi za maendeleo zinaishia mfukoni mwa wanasiasa ambao ni mafisadi wakubwa.
 
Walifikiri wakikopi katiba ya marekani watakua kama marekani 😂

Na bado wanataka ibadilishwe tena

Pesa zinaibwa mpaka kesho Rais anasema mnataka nifanye nini? Wakati katiba ipo, watu hawajui hata uwe na katiba bora vipi bado utendaji wa viongozi una mchango mkubwa
 
UK hawana katiba iliyo kwenye documents.
Sasa kwanini na ninyi msifuate UK badala yake mnatumia muda mwingi na pesa nyingi katika kuandika "useless Constitution?".
Hivi kwanini kila kitu ninyi wakenya lazima mtumie mifano ya wazungu ndio muonekana kwamba mnalofanya ni sahihi?. Ninyi ni wa pumbavu sana kuliko tulivyokua tunawafikiria.

Acheni ujinga wenu wa kuwaona wazungu kama Mungu. Unadhani kwa kutumia mifano ya wazungu sisi tutababaika?, bure kabisa ninyi. " Kenya not yet Uhuru ".
 
Hivi Tanzania nayo ina katiba? Au ni pale tu mtu anapofungua domo lake yanayomtoka ndio inakuwa sheria mama
 
Unamaanisha katiba ya mkoloni au? Maanake navojua mimi ni kwamba kando na 'ammendments' kidogo ambazo mlifanya mwaka wa 1977, katiba ya Tz ni ile ile ya mabeberu.
Ninyi hiyo katiba mpya imebadilishaje maisha na " attitude" yenu?. Bado mnathamini lugha ya mkoloni, bado ardhi yenu iko chini ya wakoloni, bado majaji wenu wanavaa nywele za wakoloni. " Kenya not yet Uhuru".
 
Hivi Tanzania nayo ina katiba? Au ni pale tu mtu anapofungua domo lake yanayomtoka ndio inakuwa sheria mama
Tumejitawala, tunamiliki uchumi WETU wenyewe, tunatumia lugha yetu wenyewe, ardhi na uchumi tunaumiliki sisi wenyewe, sio kama ninyi bado mambo Mengi ikiwemo ardhi na biashara nyingi zipo chini ya wazungu.
 
Hahahaha, Hahahaha, haiko na katiba lakini iko na Amani, ninyi mkichinjana huwa tunakuja kuwapatanisha.

Wakati mnachinja Albino na kuwala watoto wachanga mnadhani kuna amani hapo. You are Devils you imbeciles. Hilo liinchi liko wapi?
 
Wakati mnachinja Albino na kuwala watoto wachanga mnadhani kuna amani hapo. You are Devils you imbeciles. Hilo liinchi liko wapi?
Linchi lipo namba 7 Africa, na namba 54 Duniani kwa amani, Kenya ipo namba 45 Afrika, na 123 duniani kwa Amani. Endeleeni kuchinjana ili tuje kuwasuluhisha. Vipi nyama ya Jaluo, Leo umekula?
 
Ninyi hiyo katiba mpya imebadilishaje maisha na " attitude" yenu?. Bado mnathamini lugha ya mkoloni, bado ardhi yenu iko chini ya wakoloni, bado majaji wenu wanavaa nywele za wakoloni. " Kenya not yet Uhuru".
Unakariri tu pumba na vitu vya kipuuzi. Ila ukweli unaujua, katiba yenu ya karne iliyopita imewakwaza kweli kweli. Hadi haki msingi ya kupata habari, takwimu na data kutoka kwa mihimili yote ya serikali mnanyimwa. Vitu vya kawaida kwa wenzenu kama hivi hapa, Bunge Live, huwa mnaviona tu kwenye movie. Yaani mnaishi kianalogue wakati dunia inasonga mbele kwenye nyakati za kidigitali, ni aibu kubwa.
Enjoy.
 
Linganisha kati ya kuangalia "Bunge live" na Kuwepo kutokuwepo kwa rushwa, kipi ni muhimu?, kupata habari na kupata amani kipi muhimu?, takwimu na ukabila lipi muhimu?, katiba na amani, kipi muhimu?.

Ninyi hiyo katiba imezidisha rushwa, tribalism, jobless na kuongeza hali ngumu ya maisha kwa wakenya, mnaanza kulalamika punda anechoka, nchi inazidi wa na Madeni. Hivi kuna nchi ya hovyo hapa Africa zaidi ya Kenya?. Wakenya wengi wanaomba kuja kuishi Tanzania, nchi yenu hovyo kabisa.
 
Hivi Tanzania nayo ina katiba? Au ni pale tu mtu anapofungua domo lake yanayomtoka ndio inakuwa sheria mama
Yaani kuna vitu ambavyo haviwezi vikafichika virahisi. Utawala wa kisheria na kikatiba sio lazima uwe wa katiba mpya. Katiba ya sasa wanainajisi kama ilivyo na kuiponda Kenya haitobadilisha chochote. Ingekuwa vyema kama wangejikita kwenye kujiboresha na kuhakikisha kwamba mihimili yote ipo huru kutekeleza wajibu wao. Tutakapo ona mahakama za Tz zikibatilisha uchaguzi wa urais. Tena kesi yenyewe iwe live kwa Tv zote, ndio nitakubali kwamba wana haki ya kuikashifu Kenya kwenye masuala ya katiba na utawala wa kisheria. Kama hivi;
 
Tanzania sio nchi ya showoff kama ninyi. Kitu muhimu kwa binadamu yeyote awe na katiba au asiwe na katiba, abachohitaji ni AMANI, kama nchi haina amani hata mlete katiba toka mbinguni, au MAHAKAMA zionyeshe live duniani kote, haina faida yoyote kwa wananchi.
 
Linganisha kati ya kuangalia "Bunge live" na Kuwepo kutokuwepo kwa rushwa, kipi ni muhimu? Kupata habari na kupata amani kipi muhimu?, Wanalalamika punda anechoka, nchi inazidi wa na Madeni. Wakenya wengi wanaomba kuja kuishi Tanzania, nchi yenu hovyo kabisa.
Unaruka ruka tu bila formular. Hujui lolote kuhusu katiba, utekelezaji wa katiba wala utawala wa sheria. Habari zote ambazo unazisikia kuhusu rushwa na vita dhidi ya ufisadi ni kwasababu ya hiyo hiyo katiba. Katiba ya Kenya imewapa watu uhuru wa kuhoji, kuonesha hisia zao na kufukua chochote kile ambacho wanataka, bila uoga! Tena chini ya katiba ya Kenya ni haki ya kila mwananchi kupata habari au takwimu zozote ambazo ataagiza kutoka kwa serikali. Hivi vitu havikuwa hapo awali na ndio maana haimaanishi kwamba hapo awali hakukuwa na uovu wowote ule. Nyinyi hata kumhoji tu rais kuhusu 1.5 Tr. hamuwezi mkathubutu. Eti kutoa takwimu ambazo hazijatoka kwa serikali ni hatia.
 
Tanzania sio nchi ya showoff kama ninyi. Kitu muhimu kwa binadamu yeyote awe na katiba au asiwe na katiba, abachohitaji ni AMANI, kama nchi haina amani hata mlete katiba toka mbinguni, au MAHAKAMA zionyeshe live duniani kote, haina faida yoyote kwa wananchi.
Amani ya wafia chama na wasifia mungu mtu ndio unaongea kuhusu? Ipo wapi amani ya hao wengine waliosalia, au wao sio watanzania wenzako? Haki zao ambazo zimelindwa kwenye katiba zikivurugwa bado unasema kwamba wao wana amani? Yaani wapigwe risasi, wakata katwe kwa mapanga, wauawe, wapotezwe, watekwe na wasiojulikana, mikutano yao iharamishwe, gazeti zifungwe alafu bado unasema kwamba wanaishi kwa amani? Umerogwa wewe?
 
Back
Top Bottom