Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Baada ya Kenya kuwa na katiba mpya nilitegemea kutakuwa na maendeleo lakini leo wakenya wanazidi kuwa maskini wakati wanasiasa wakizidi kuwa mabilionea.
Ingekuwa vizuri kwa wakenya kurudi kwenye mfumo wa zamani wa serikali ili maendeleo yapatikane. Hii mambo ya magavana na county ni hasara kubwa sana kwani fedha nyingi za maendeleo zinaishia mfukoni mwa wanasiasa ambao ni mafisadi wakubwa.