Afadhali niendelee kuitwa Mzee kuliko kuvaa nguo zisizo na staha

Afadhali niendelee kuitwa Mzee kuliko kuvaa nguo zisizo na staha

Wananiambia direct, wengine nikiwaambia umri wangu halisi hawaamini mpaka niwaoneshe details za cheti cha kuzaliwa
Unafahamu psychological manipulation?, kama ni threat kwao chunga sana inaweza kuwa njia mojawapo ya kukufanya ujisikie dhalili, kwa sababu kwa jinsi maisha yalivyo sasa hivi ni ngumu sana mtu kupata time ya kutafhmini muonekano wa mtu, hadi kufikia kumpa hadi opinion, watu wako busy sana.
Au ninyi ni wanafunzi, au shughuli zenu zinahusisha kupiga soga sana
 
Unafahamu psychological manipulatio?, kama ni threat kwao chunga sana inaweza kuwa njia mojawapo ya kukufanya ujisikie dhalili, kwa sababu kwa jinsi maisha yalivyo sasa hivi ni nhumu sana mtu kupata time ya kutafhmini muonekano wa mtu, hadi kufikia kumpa hadi opinion, watu wako busy sana.
Au ninyi ni wanafunzi, au shughuli zenu zinahusisha kupiga soga sana
Sio vijana wenzangu tu, hata baadhi ya watu wazima nikikaa nao na kuzungumza machache, wakiniskia tu naongea wananipa attention kubwa kama mtu mzima mwenzao.

Mwisho nikiwaambia umri wangu halisi wanakataa, wengine wananiuliza vipi umeoa? Nikisema hapana wanauliza kwanini wakati umri wako umefika, nikisema nipo na 22yrs hawaamini kabisa.
 
Oh basi kama ni hiyo age wala usijali, kuwa wewe. Umekomaa akili kuliko wengi
wa vijana wa rika lako.
 
Back
Top Bottom