Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #61
Mimi sio mnyasa, mimi ni Mparesio bishoo ww mnyasa tuH
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mnyasa, mimi ni Mparesio bishoo ww mnyasa tuH
haiondoi maana ya ww kuwa nnyasa bado n mnyasa tuMimi sio mnyasa, mimi ni Mpare
Sawa, wewe ndyo unaamini hivyo wala sio mimihaiondoi maana ya ww kuwa nnyasa bado n mnyasa tu
mnyasa uyoooo🤣Sawa, wewe ndyo unaamini hivyo wala sio mimi
Wananiambia direct, wengine nikiwaambia umri wangu halisi hawaamini mpaka niwaoneshe details za cheti cha kuzaliwaHayo maneno wanakwambia uso kwako au wanasemezana vipembeni?
Unafahamu psychological manipulation?, kama ni threat kwao chunga sana inaweza kuwa njia mojawapo ya kukufanya ujisikie dhalili, kwa sababu kwa jinsi maisha yalivyo sasa hivi ni ngumu sana mtu kupata time ya kutafhmini muonekano wa mtu, hadi kufikia kumpa hadi opinion, watu wako busy sana.Wananiambia direct, wengine nikiwaambia umri wangu halisi hawaamini mpaka niwaoneshe details za cheti cha kuzaliwa
Sio vijana wenzangu tu, hata baadhi ya watu wazima nikikaa nao na kuzungumza machache, wakiniskia tu naongea wananipa attention kubwa kama mtu mzima mwenzao.Unafahamu psychological manipulatio?, kama ni threat kwao chunga sana inaweza kuwa njia mojawapo ya kukufanya ujisikie dhalili, kwa sababu kwa jinsi maisha yalivyo sasa hivi ni nhumu sana mtu kupata time ya kutafhmini muonekano wa mtu, hadi kufikia kumpa hadi opinion, watu wako busy sana.
Au ninyi ni wanafunzi, au shughuli zenu zinahusisha kupiga soga sana
Oh basi kama ni hiyo age wala usijali, kuwa wewe. Umekomaa akili kuliko wengiSio vijana wenzangu tu, hata baadhi ya watu wazima nikikaa nao na kuzungumza machache, wakiniskia tu naongea wananipa attention kubwa kama mtu mzima mwenzao.
Mwisho nikiwaambia umri wangu halisi wanakataa, wengine wananiuliza vipi umeoa? Nikisema hapana wanauliza kwanini wakati umri wako umefika, nikisema nipo na 22yrs hawaamini kabisa.
Nimekuelewa Vyema mkuu, itabidi nizoee hii hali.Oh basi kama ni hiyo age wala usijali, kuwa wewe. Umekomaa akili kuliko wengi
wa vijana wa rika lako.