Afande Faustine Mafwele ni Mzima wa afya. Hajatekwa, hajahojiwa wala kukemewa. Yupo Ofisini kajaa tele kama pishi la Mchele

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Faustine Mafwele ni afisa wa ngazi ya juu ndani ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Assistant Commissioner of Police (ACP) pia ni Zonal Crimes Officer (ZCO) wa Kanda Maalum ya Polisi ya Dar es Salaam Special Zone. Ni kaimu wa Muliro (Kamanda wa kanda maalum ya Dar es Salaam. Kumbuka huyu ndo Mtuhumiwa namba moja alomteka Sativa.
20260222_211427.jpg

Kuna habari zimekuwa zikizagaa kwamba sijui Kakamatwana Jeshi, sijui Wamemteka, Wamemjeruhi, wamemuingilia kinyume na maombile, wengine wanasema katolewa jicho nk.

Yaani kwamba kutokana na mauaji yaliyotokea 29 Oktoba 2025, basi naye kwamba Mungu kamuadhibu..

Ukweli ni kwamba habari hizo ni uzushi uongo na uzandiki wa hali ya Juu.

Mimi nimemuona kwa macho yangu Jumapili 22 Februari 2025 akiwa Dar Es salaam. Wala hana shida yoyote na anaendelea na kazi zake kama kawaida. Wala hajabadilisha gari, hajabadilisha walinzi wala hajifichi. Kwa ufupi hakuna anayemtafuta wala kumkera kwa chochote. Mafwele wala hata hajali.. Anachekea shavuni akisoma anavyoandikwa mitandaoni eti kapigwa.

Hata sijui kwanini watu wameingizwa Mkenge wakakubali.

Ila nahisi ni moja ya kazi za TISS kuwashika masikio watanganyika kwani wanajua wanadanganyika.

Wanataka watu Verified wasupport uzushi na matango pori, baada ya hapo ajitokeze.

Wanajua wale wote waliokuwa wanaongelea hili swala watapoteza ushawishi kwa Jamii na hawataaminika tena. Ni moja ya mbinu zinatumika kuwavunja nguvu wanaharakati.

Wanawatumia kwa kuwapa taarifa za Uongo kisha Ukweli unajulikana kinyume na ilivyokuwa inasemwa.

Hii ya Mafwele isingekuwa imepangwa, basi angekuwa anaonekana anatoa matamko kumsaidia Muliro au Polisi wangekanusha.. Polisi wanakanusha habari za mitaani za TTF washindwe kukanusha habari za Boss wao?

Pamoja na yote, siungi Mkono kuhusika kwake katika mauaji ya Watoto wetu 29.10.2025 na siku zilizofuatia..

Nalaani kutekwa kwa Polepole na Rafiki yangu Mdude Nyagali.

Pia nalani wote waliotupa matumaini hewa kwamba Mafwele kafanyiziwa. Ndicho kitu natamani kuona na kusikia lakini kwa huzuni kubwa ni habari za Uongo. Mafwele hakuna hata alomfokea, kumkanya wala kumuangalia kwa jicho la ukali. Inasikitisha sana.

Na anayejiita Kaka wa Polepole naye simuelewi kwani atakuwa anavuta bangi. Anadai eti Afande Mliro alimkimbia ili asimkamate. Muliro akimbie aende wapi. Kwanza hana wasiwasi. Kila siku yupo mtaani wala hajifichi.

Kaka wa Polepole aache bangi.. Anaongea upuuzi tu.. Asitutoe kwenye reli... Sifa za kijinga.

Matamanio yetu ni kuona wote waliohusika kuua watoto wetu wanachukuliwa hatua kwa mjibu wa Sheria.

Tume ya Mzanzibari Samia inahoji wakulima na wafugaji wa Nangurukuru na Sitimbi, badala ya kumhoji Mafwele na Muliro waeleze walitumia mbinu gani kuua na wameua watu wangapi na miili wameizika wapi.

Mara ya kwanza hii tume ya Mzanzibari Samia nilijua tume ya Uchunguzi kumbe ni tume ya kukusanya maoni na mapendekezo ili wampelekee Samia huko Zanzibar.

Wizi mtupu. Ila siku yaja💪

View attachment 3547443

Na anasemaje kuhusu Watanganyika kufurahia baada ya kutaarifiwa kwamba kafirwa.
 
"Pamoja na yote, siungi Mkono kuhusika kwake katika mauaji ya Watoto wetu 29.10.2025 na siku zilizofuatia"

It's good to be neutral ili habari yako nayo iwe na mashiko!
 
Kwa sasa wanaharakati wengine - si wote- wakishindwa kukuteka au kukuua wanakuteka au kukuua mitandaoni. Kwa habari za kuzusha.

Ikiwa hili nalo ni moja ya haya ya kuzusha , tabia hii haisaidii sana.

Pengine ni aina yao ya kujipoza kisaikolojia, coping mechanism.

Lakini inawapunguzia credibility tu.

Pia, habari kama hizi, hata zikiwa kweli, zitawapa Polisi justification ya kufanya crack down kwa wanaharakati tu. Kusema kwamba kuna magaidi tuna deal nao wamemuua Mafwele.

Kuna siku wanaharakati wa mitandaoni (Tanzania Leaks) walizusha Mzee Warioba yuko under house arrest, nikaicheki familia ya Warioba kuulizia, wakasema hayo ni maneno ya mitandaoni tu.

Nikasema hawa wajinga wanadanganya mambo ambayo tunaweza ku verify kirahisi tu na familia, wamejiondolea credibility kabisa.
 
Kwa sasa wanaharakati wengine - si wote- wakishindwa kukuteka au kukuua wanakuteka au kukuua mitandaoni.

Ikiwa hili nalo ni moja ya haya ya kuzusha , tabia hii haisaidii sana.

Pengine ni aina yao ya kujipoza kisaikolonia, coping mechanism.

Lakini inawapunguzia credibility tu.

Kuna siku walizusha Mzee Warioba yuko under house arrest, nikaicheki familia kuulizia, wakasema hayo ni maneno ya mitandaoni tu.

Nikasema hawa wajinga wanadanganya mambo ambayo tunaweza ku verify kirahisi tu na familia, wamejiondolea credibility kabisa.
Tatizo lilianza kwa serikali...
Serikali inadanganya sana na wananchi hawaiamini tena, unakumbuka JPM alipofriki waziri mzima anakwenda kudanganya msikitini kwamba jamaa ni mzima na anachapa kazi.

Yule mwingine akasema wanataka kum deport Mange aende Tanzania halafu wamshtaki, kitu ambacho kwa akili za kawaida tu unaona ni ngumu sana pengine haiwezekani. INa maana serikali nayo inakurupuka, serikali nayo ni mabinga wa kupika habari, hivyo imani haipo.

Hii inapelekea wananchi na wanaharakati kujitafutia taarifa kutoka kwenye vyanzo vyao, katika utafutaji huo hawazingatii mambo muhimu kama evidence based reporting, je kuna picha, ama sauti ,ama video na wakipata hizo video je wanatafuta metadata zake..?

Je chanzo ni kipi, ikiwezekana watafute chanzo zaidi ya kimoja.

Hawazingatii pia context, habari nyingi zimejazwa chumvi nyingi sana kama uwajuavyo wabongo...

Nadhani kuna ulazima hawa wanaharakati wajadili kuhusu hilo la sivyo na wao watapoteza uaminifu kutoka kwa wananchi kitu ambacho si kizuri.
 
Habari hii, kama ni kweli ipo hivyo unavyoisema, inatufundisha nini?

Habari hii inatufundiaha kuwa wanaharakati hawa wanafanya makosa yaleyale wanayofanya watawala.

Maana yake ni kwamba hata watawala wa sasa wakiondolewa wakawekwa hao wanaharakati watawale, wanaweza kutawala kwa uongo uongo hivyohivyo.

Kwamba ni rahisi kuwanyooshea vidole watawala wa sasa, kwa sababu wao ndio wapo katika utawala, lakini kuna tatizo la kiutamaduni lililopita siasa, na tatizo hili lipo mpaka kwa wanaharakati, sio watawala tu.

Wanaharakati wanatakiwa kujitofautisha na watawala, wajioneshe wao hawana tabia za uongo uongo.

Vinginevyo tutaona hawana tofauti na watawala, wanawapinga ili wao wanaharakati wapate kutawala tu.
 
CHADEMA ni wajinga
wajinga
wajinga
wajinga
wajinga
wajinga
 
Attachments

  • Screenshot_20251219-181905.jpg
    Screenshot_20251219-181905.jpg
    101.7 KB · Views: 33
Back
Top Bottom