Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Mzee walikujia wale makachero wa kawaida,au wale wanajiita special force????.Ni kawaida yao kutowaamini Watanzania mkuu.
Wanapekua hadi hotelini! Hoteli zao zote zimejaa viwavi! Mimi nilikuwa naweka mitego ya kufa mtu nakuta hadi begi limepekuliwa ( ila kwa akili sana). Hawaamini mtu wale ...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kwani amelalamika nini tena?
 
Kwahiyo anavyoua watu mashariki ya Congo wewe unaona sawa sio? Wacongo sio watu?
 
Hilo dili ungenipa mimi 🤣🤣🤣Nina apartment,s kibao tu hazina watu.
Daah nipe mawasiliano WhatsApp still watu wanakuja kufata bidhaa na kama upo maeneo kufikika ni kwa urahisi jiunge na BNB wale jamaa Wamarekani unapata wageni vizuri na unapata hela yako kupitia wao wao wanakata mteja akiomba na mteja hata hajui mmiliki ni nani anafika kwa address tuu ila vyumba viwe na vitu vyote yeye ni kuja kulala tu na uzingatie usafi kama upo daslm wageni wa Nyerere Park wapo wengi na Mikumi wanapeleka Rhino pia utapata wageni wasiotaka kwenda Ngorongoro kuangalia Rhino...
 
Interahamwe na ex-FAR walishajua kiswahili na Kingeleza wakiingia tu wanaandika na kupenyeza chuka zao za ubaguzi, hakuna Mtanzania ana mda wa kuandika huu upuuzi.
Kagame aliwatandika na kuwakimbiza myaka hiyo baada ya mauaji sasa Rwanda ya leo unahisi mtaiweza?sahau!
Bora mkarudi kugenga taifa lenu tu.
na kama ulifanya mauaji ujue gereza lipo kwa ajili yako.
 
Myaka hiyo ndio lugha na wewe mnyarwanda ?
 
Nakuchek mkuu tufanye ujasiriamali.
 
Myaka hiyo ndio lugha na wewe mnyarwanda ?
Afande PS a.k.a Mgomba mrefu mjomba wangu yule hana shida,ila namkumbusha asiogope frontline wakurugwa wa FDR,,PDR,LPR,DDR, na wengineo wakilianzisha asianze kulalamika kama Habriymana.Analalamika sana utadhani sio mwanajeshi.Kuhusu kuua wote RPA na FAR walihusikana ile genocide ila mshindi kwenye vita ndio waga anaandika historia.Tumechoka kupokea wakimbizi,lazima warudi nchi yao ya asili iwe kwa demokrasia ya sanduku la kupigia kura au kwa mtutu wa bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…