Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Acheni uoga kama mnaweza shikeni siraha mje Kigali tupambane, mlikimbizwa kwa siraha na nyie kama mnaweza rudini kwa siraha, hata Kagame akifa leo nyie mbwa hamna uwezo wa kuchukua madaraka ya [emoji1206] tulipigana tukawashinda na hatujasahau mlivyoua ndugu zetu tutaendelea kuwafuatilia popote mlipo duniani and we must eliminate all of you.
Ni "Silaha" na sio ""Siraha""usituharibie kiswahili wewe mtusi koko,,alafu pia tunaomba sana Usitugombeze!!falaa wee!!!
 
Sasa sisi wenye nasaba za kinyankore na kinyambo mpaka kwenye majina,kule ndio utakua unapekuliwa daily na wale wanajiita special force
Wanapekua hadi hotelini! Hoteli zao zote zimejaa viwavi! Mimi nilikuwa naweka mitego ya kufa mtu nakuta hadi begi limepekuliwa ( ila kwa akili sana). Hawaamini mtu wale ...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
I
 
Wanapekua hadi hotelini! Hoteli zao zote zimejaa viwavi! Mimi nilikuwa naweka mitego ya kufa mtu nakuta hadi begi limepekuliwa ( ila kwa akili sana). Hawaamini mtu wale ...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Duh basi atakuwa na wasiwasi sana na Utawala wake. Hayo mambo yanamwisho huwezi kuishi namna hiyo itakuwa ana madudu mengi na maadui wengi
 
Kuja kwa Kamala Harris na M23 walisitisha mapambano kwa kupewa bulungutu la hela na mzee wa ug

Yaani kwa kujionyesha kuwa wamewadhibiti wakaamua kuwapa hela ili waache vurugu kwa mda kiasi VP Harris anazunguka kwa majirani

Hii vita haitaisha na Paka ni muoga sana kwa kulinda maslahi ya familia yake ndio maana anataka kuwaweka madarakani akijua fika hawezi kuishi milele

Sote tutakufa ila wao wanakufa huku wakifikiri wanawatengenezea njia watoto wao kwa kutawala milele huku wakirithishana

Hata Qusey na Udey waliuwawa
Kwa hiyo na ug nao wanafadhiki pia m23, halafu pia wakawa na uhusiano usio mzuri na Rwanda au ilikuwa geresha
 
Yeye si yuko vizuri na jeshi la kisasa awatwange tu mpaka waishe, atumie drone zake zile hao wanaowasaidia wenyewe wataacha au kukimbia.
Tatizo anachanga karata zake za kisiasa vibaya.Anasahau hata yeye aliingia kwa njia ya vita
 
Back
Top Bottom