Ni "Silaha" na sio ""Siraha""usituharibie kiswahili wewe mtusi koko,,alafu pia tunaomba sana Usitugombeze!!falaa wee!!!Acheni uoga kama mnaweza shikeni siraha mje Kigali tupambane, mlikimbizwa kwa siraha na nyie kama mnaweza rudini kwa siraha, hata Kagame akifa leo nyie mbwa hamna uwezo wa kuchukua madaraka ya [emoji1206] tulipigana tukawashinda na hatujasahau mlivyoua ndugu zetu tutaendelea kuwafuatilia popote mlipo duniani and we must eliminate all of you.
IWanapekua hadi hotelini! Hoteli zao zote zimejaa viwavi! Mimi nilikuwa naweka mitego ya kufa mtu nakuta hadi begi limepekuliwa ( ila kwa akili sana). Hawaamini mtu wale ...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mkuu huyo analeta swaga za kigali,kua afande Kagame waga hakosolewi ni mungu mtuNi "Silaha" na sio ""Siraha""usituharibie kiswahili wewe mtusi koko,,alafu pia tunaomba sana Usitugombeze!!falaa wee!!!
Ur wrong mkuuHutu and Tutsi at work
Tupeni hizo facts tuzijue
Aje tu mimi sio mnyarandwa.Watanzania sio wajinga uwafuate tu bongo kisa wamekukosoaDah wewe ndugu unajiamini sana. Jamaa huwa unawafata watu waliko
Mkuu umenichekesha🤣🤣🤣🤣Dogo kweli we wakuja nisema mitandaon sasa tulia vijana wangu wanakuibukia
Unatamani wewe Coca🤣🤣🤣Wangejua sasa, akati sisi tunataman kwenda kwao
Nimezungumzia jeshi mkuulakini hakuna demokrasia tanzania JPM alikataza upinzani na kuhujumu demokrasia kupitia uchaguzi ghushi
Hapo sawa nilidhani mnyarwandaAje tu mimi sio mnyarandwa.Watanzania sio wajinga uwafuate tu bongo kisa wamekukosoa
Duh basi atakuwa na wasiwasi sana na Utawala wake. Hayo mambo yanamwisho huwezi kuishi namna hiyo itakuwa ana madudu mengi na maadui wengiWanapekua hadi hotelini! Hoteli zao zote zimejaa viwavi! Mimi nilikuwa naweka mitego ya kufa mtu nakuta hadi begi limepekuliwa ( ila kwa akili sana). Hawaamini mtu wale ...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Yeye si yuko vizuri na jeshi la kisasa awatwange tu mpaka waishe, atumie drone zake zile hao wanaowasaidia wenyewe wataacha au kukimbia.Anadai nchi jirani zinasaidia wapinzani wake kijeshi.
Nini kilimkuta MkuuAlijaribu kipindi hicho
Unataka wakakufukueWangejua sasa, akati sisi tunataman kwenda kwao
Kwa hiyo na ug nao wanafadhiki pia m23, halafu pia wakawa na uhusiano usio mzuri na Rwanda au ilikuwa gereshaKuja kwa Kamala Harris na M23 walisitisha mapambano kwa kupewa bulungutu la hela na mzee wa ug
Yaani kwa kujionyesha kuwa wamewadhibiti wakaamua kuwapa hela ili waache vurugu kwa mda kiasi VP Harris anazunguka kwa majirani
Hii vita haitaisha na Paka ni muoga sana kwa kulinda maslahi ya familia yake ndio maana anataka kuwaweka madarakani akijua fika hawezi kuishi milele
Sote tutakufa ila wao wanakufa huku wakifikiri wanawatengenezea njia watoto wao kwa kutawala milele huku wakirithishana
Hata Qusey na Udey waliuwawa
Anatakiwa atokeAnadai nchi jirani zinasaidia wapinzani wake kijeshi.
Tatizo anachanga karata zake za kisiasa vibaya.Anasahau hata yeye aliingia kwa njia ya vitaYeye si yuko vizuri na jeshi la kisasa awatwange tu mpaka waishe, atumie drone zake zile hao wanaowasaidia wenyewe wataacha au kukimbia.
Watakuua ukiongea hivyo KigaliAnatakiwa atoke
Ile ilikua geresha mkuuKwa hiyo na ug nao wanafadhiki pia m23, halafu pia wakawa na uhusiano usio mzuri na Rwanda au ilikuwa geresha