teh teh teh ukistaajab ya mussaLini alisema yeye ni muislam?
Hujamuelewa?Kwa hiyo usiku jua linapozama anaabudu nini?
Well saidIman ya kuabudu jua ilikuwepo kabla hata yesu wala musa hajakuja. Kwahyo yy sio wakwanza kuabudu jua
Kwani kasema hakuna Mungu,...mmmh..?mpumbavu moyoni mwake husema hakuna MUNGU..
Logical thinking....Kwani ni lazima awe na cha kuabudu?!
Ulikuwa unanunua sababu ya Dini? and then lazima utakua muongo hebu onesha Tape au CD ya Afande sele uliyowahi nunua.... Wabongo kutwa kudowload au kwenda kwa vile vijamaa vinavyokusanya nyimbo za wasanii na kurekodia watu mbali mbali nyimbo mchanganyiko kwa bei cheeKuanzia leo sinunui kazi zake tena, na nilizonazo naenda kuchoma moto....!