Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Hivi huyu bwana kwa mara ya mwisho alitoa wimbo gani? Manake hata nyimbo zake zimeshasahaulika masikioni mwetu, ila nakumbuka kipindi fulani alikuwa ndo 'King of Rymes' na Profesa J alijitoa kwenye hayo mashindano.
Prof Jay hakujitoa, alishiriki mpaja mwisho
 

Dini tumeletewa kwani huongo
 
Shida moja ya bangi inakufanya uwe na imagination za ajabu sana ,ngoja niache hii kitu i mean nipunguze nisije anza kuabudu papuchi ,
Bora bafande ametafakari kuliko mkuu wa mkoa wa morogoro alikua analilia kutenguliwa
 
Nimeshaivunjilia mbali........!
 
Kwanza wavuta bange ni wengi sana katika wasanii. Ni kama kusema si rahisi kukuta msanii asiyetumia Bob Marley.

Mnasubiri mpaka watangaze kuacha dini zenu ndio mje hapa kuwalaumu eti wanavuta Ganja?.
NDIO MNAJUA LEO???.

.
KWQ TAARIFA YENU:-
BANGI NI DAWA. NA UJERUMANI IMEPITISHA.MUSWADA BUNGENI ILI BANGI ITUMIKE KAMA TIBA . KWW WAGONJWA WA SARATANI, KUTETEMEKA NA IKIMWI WAMEKUA WAKIUTUMAINIA SANA HUU MMEA.
MWANA FILOSIFIA TO ROBERT NESTA MARLEY ALIWAHI KUSEMA IS GOD CREATED THIS HERB.
SO HUENDA KUPITIA MATUMIZI HAYA„…AFANDE SELE AMEJIKOMBOA…kwa kutibu afya ya akili yake.[emoji106]
 

" The seen is illustrated by the unseen"
 
Yaheshimiwe maamuzi yake rejea Ibara ya 19(1) kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
 
Ni kweli tumeletewa, lakini hata bhangi tumeletewa pia.
Yeah,,...sasa yeye kachagua kimojawapo kati ya tulivyoletewa...tatizo mnatoka mapovu as if nyinyi ndio mko sahihi kwa kuchagua hicho mlichochagua kati ya tulivyoletewa.
 
Yeah,,...sasa yeye kachagua kimojawapo kati ya tulivyoletewa...tatizo mnatoka mapovu as if nyinyi ndio mko sahihi kwa kuchagua hicho mlichochagua kati ya tulivyoletewa.
Tumechagua kile ambacho madhara yake kwenye ubongo ni madogo
 
WEED from the earth God put it there for me and you come on smoking... today its Friday you got no work and you got no shit to do... Creig... puff puff you fu c en up the rotation it can kill somebody else... That is serious shit
 
Kweli mkuu God created weed man made beer.In God we trust.
 
mpumbavu zaidi nadhani ni wewe,
sawa,.ila Huwez kuabudu jua kama uko timamu kiakili,.....
kma nawewe ni muabudu jua,badilika mkuu
nani aliyeliumba hilo jua????????ni Mungu mwenyewe
nyi hangaikeni tu simnajua mtaishi milele
 
Kwani kasema hakuna Mungu,...mmmh..?
Angalia usijekuwa wewe ndio mpumbavu mkuu.
Kama anajua Mungu yupo kwanini aabudu jua wakati MUNGU aliyetuumba tumuabudu yupo,.....?
kuabudu nje ya MUNGU maana yake ni kuamini kuwa hakuna MUNGU,....kama nawewe ni muabudu jua,...
badilika,./uache kiburi cha uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…