Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Hivi huyu bwana kwa mara ya mwisho alitoa wimbo gani? Manake hata nyimbo zake zimeshasahaulika masikioni mwetu, ila nakumbuka kipindi fulani alikuwa ndo 'King of Rymes' na Profesa J alijitoa kwenye hayo mashindano.
Prof Jay hakujitoa, alishiriki mpaja mwisho
 
Chezea bhangi wewe, kuna jamaa yangu wakati tukiwa shule ya Sekondari Day tunaishi nyumba ya kupanga, sasa siku moja week'nd tumnatembea njiani tukawa tunaona ananyanyua miguu kwenda juu sana, tukimuuliza mbona unatembea hivyo, anasema hakuna kitu, kesho yake akatwambia alienda kwa mzee fulani ambaye alikuwa jirani na nyumba tuliyokuwa tunaishi, akavuta bhangi ya kibuyu ambayo inawekewa maji, mchanga na inavutwa kwa mrija sasa wakati anatembea akawa anona kama barabara ina mabonde mabonde.

Dini tumeletewa kwani huongo
 
Shida moja ya bangi inakufanya uwe na imagination za ajabu sana ,ngoja niache hii kitu i mean nipunguze nisije anza kuabudu papuchi ,
Bora bafande ametafakari kuliko mkuu wa mkoa wa morogoro alikua analilia kutenguliwa
 
Ulikuwa unanunua sababu ya Dini? and then lazima utakua muongo hebu onesha Tape au CD ya Afande sele uliyowahi nunua.... Wabongo kutwa kudowload au kwenda kwa vile vijamaa vinavyokusanya nyimbo za wasanii na kurekodia watu mbali mbali nyimbo mchanganyiko kwa bei chee
Nimeshaivunjilia mbali........!
 
Kwanza wavuta bange ni wengi sana katika wasanii. Ni kama kusema si rahisi kukuta msanii asiyetumia Bob Marley.

Mnasubiri mpaka watangaze kuacha dini zenu ndio mje hapa kuwalaumu eti wanavuta Ganja?.
NDIO MNAJUA LEO???.

.
KWQ TAARIFA YENU:-
BANGI NI DAWA. NA UJERUMANI IMEPITISHA.MUSWADA BUNGENI ILI BANGI ITUMIKE KAMA TIBA . KWW WAGONJWA WA SARATANI, KUTETEMEKA NA IKIMWI WAMEKUA WAKIUTUMAINIA SANA HUU MMEA.
MWANA FILOSIFIA TO ROBERT NESTA MARLEY ALIWAHI KUSEMA IS GOD CREATED THIS HERB.
SO HUENDA KUPITIA MATUMIZI HAYA„…AFANDE SELE AMEJIKOMBOA…kwa kutibu afya ya akili yake.[emoji106]
d3ab963197336e9a3d4935ef0d88f01e.jpg
 
Usiamini sana macho .

Mfano
jua likiwa kali mchana utaona kwenye lami ktk upeo wako kuna maji na ukisogea karibu macho yako yatakuonyesha hamna maji kwenye lami.

Afande sele Anaamini jua ndio Mungu kwa sababu analiona na ndio maana haamini asichokiona. LAKINI pia ametuambia atakapokufa achomwe moto ili afufuliwe na malaika kwa sababu malaika wameumbwa na moto hataki kuzikwa kufufuliwa na udongo kuwa binadamu tena.

Kama anaamini macho atuonyeshe malaika anaewaamini wapo na atafufuliwa kama malaika (je malaika ni zile nyota?, au ule mwezi ndio malaika?)

Ameamini Mungu ni jua kwa sababu ameliona kwa macho. Hajatuambia anaamini malaika wapo amewaona wapi?? Kama kweli yeye anaamini anachokiona ili akifufuliwa awe malaika.

" The seen is illustrated by the unseen"
 
Yaheshimiwe maamuzi yake rejea Ibara ya 19(1) kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
 
Ni kweli tumeletewa, lakini hata bhangi tumeletewa pia.
Yeah,,...sasa yeye kachagua kimojawapo kati ya tulivyoletewa...tatizo mnatoka mapovu as if nyinyi ndio mko sahihi kwa kuchagua hicho mlichochagua kati ya tulivyoletewa.
 
Yeah,,...sasa yeye kachagua kimojawapo kati ya tulivyoletewa...tatizo mnatoka mapovu as if nyinyi ndio mko sahihi kwa kuchagua hicho mlichochagua kati ya tulivyoletewa.
Tumechagua kile ambacho madhara yake kwenye ubongo ni madogo
 
WEED from the earth God put it there for me and you come on smoking... today its Friday you got no work and you got no shit to do... Creig... puff puff you fu c en up the rotation it can kill somebody else... That is serious shit
 
Kwanza wavuta bange ni wengi sana katika wasanii. Ni kama kusema si rahisi kukuta msanii asiyetumia Bob Marley.

Mnasubiri mpaka watangaze kuacha dini zenu ndio mje hapa kuwalaumu eti wanavuta Ganja?.
NDIO MNAJUA LEO???.

.
KWQ TAARIFA YENU:-
BANGI NI DAWA. NA UJERUMANI IMEPITISHA.MUSWADA BUNGENI ILI BANGI ITUMIKE KAMA TIBA . KWW WAGONJWA WA SARATANI, KUTETEMEKA NA IKIMWI WAMEKUA WAKIUTUMAINIA SANA HUU MMEA.
MWANA FILOSIFIA TO ROBERT NESTA MARLEY ALIWAHI KUSEMA IS GOD CREATED THIS HERB.
SO HUENDA KUPITIA MATUMIZI HAYA„…AFANDE SELE AMEJIKOMBOA…kwa kutibu afya ya akili yake.[emoji106]
d3ab963197336e9a3d4935ef0d88f01e.jpg
Kweli mkuu God created weed man made beer.In God we trust.
 
mpumbavu zaidi nadhani ni wewe,
sawa,.ila Huwez kuabudu jua kama uko timamu kiakili,.....
kma nawewe ni muabudu jua,badilika mkuu
nani aliyeliumba hilo jua????????ni Mungu mwenyewe
nyi hangaikeni tu simnajua mtaishi milele
 
Kwani kasema hakuna Mungu,...mmmh..?
Angalia usijekuwa wewe ndio mpumbavu mkuu.
Kama anajua Mungu yupo kwanini aabudu jua wakati MUNGU aliyetuumba tumuabudu yupo,.....?
kuabudu nje ya MUNGU maana yake ni kuamini kuwa hakuna MUNGU,....kama nawewe ni muabudu jua,...
badilika,./uache kiburi cha uzima
 
Back
Top Bottom