Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Wakitaka kumdaka watampa kesi inayohusiana na makosa ya kimtandao, refer kesi ya R v Deo Kisandu
 
Wakitaka kumdaka watampa kesi inayohusiana na makosa ya kimtandao, refer kesi ya R v Deo Kisandu

Mkuu huyo Deo nakumbuka alishtakiwa kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya makosa ya mitandaoni.Hivyo kwa jambo la Selemani haiingii
 
Hii tafsiri yake ni pana, vyombo vya ulinzi vinapaswa wamshikilie Afande mapema, kifo kinachoombwa hapo kinaweza kuwa na maana nyingi..

Afande sele amekosea big time, ila hii pia sio sawa, sababu hapo hata plot ikitengenezwa Nani atakayejua? Kuthibitisha maombi yao.

Mungu aliyemtukana na kumkashifu afande ni Mungu wa wote, sina maana ya kumtetea, ila hii sina uhakika Kama iko sawa🙏🙏imani
 
Back
Top Bottom