NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Bora wangemsomea maulidi kuliko kumsomea albadir.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hawa watu Upendo na Msamaha kwao sio kitu kwaoView attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Japo Afande Sele alivuka mpaka kwa matusi lakini hakitompata kibaya chochote kupitia kelele za huyu ustadhi.View attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Nadhani ni wazimu ulio changanyikana na kabangi kidogoAmemtukana Mungu.Hivi kiumbe unawezaje kumtukana Muumba wako?.Nenda YouTube mcheki,Mimi sitaki hata kumsikia tena.
Makundi yapo mengi, na kila moja lina Mungu wakeUtata utatani
Mungu aliyekuwa akuombwa na Magufulu ni yupi? Hatujui mimi na wewe maana mambo ya rohoni huwezi yaona kwa jicho la nyama.
Mungu anayetukanwa na huyu mabange naye ni yupi, hatujui labda anamaanisha mungu wa marasta jah,
Na huyu mungu anayetetewa na hawa waomba dua ni yupi maana bila shaka wajuao Allah si yule Mungu wa Yesu Kristo.
Binafsi sichangii chochote sababu sijui ni Mungu yupi anayegombewa hapa.
Mungu wangu mimi hapiganiwi wala hatetewi.