Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Haikuwa na haja yeye ni nani hadi amuhumumu ana taka Afande aongeze ukali wa maneno
 
Utata utatani
Mungu aliyekuwa akiombwa na Magufuli ni yupi? Hatujui mimi na wewe maana mambo ya rohoni huwezi yaona kwa jicho la nyama.
Mungu anayetukanwa na huyu mabange naye ni yupi, hatujui labda anamaanisha mungu wa marasta jah,
Na huyu mungu anayetetewa na hawa waomba dua ni yupi maana bila shaka wajuao Allah si yule Mungu wa Yesu Kristo.

Binafsi sichangii chochote sababu sijui ni Mungu yupi anayegombewa hapa.

Mungu wangu mimi hapiganiwi wala hatetewi.
 
Utata utatani
Mungu aliyekuwa akuombwa na Magufulu ni yupi? Hatujui mimi na wewe maana mambo ya rohoni huwezi yaona kwa jicho la nyama.
Mungu anayetukanwa na huyu mabange naye ni yupi, hatujui labda anamaanisha mungu wa marasta jah,
Na huyu mungu anayetetewa na hawa waomba dua ni yupi maana bila shaka wajuao Allah si yule Mungu wa Yesu Kristo.

Binafsi sichangii chochote sababu sijui ni Mungu yupi anayegombewa hapa.

Mungu wangu mimi hapiganiwi wala hatetewi.
Makundi yapo mengi, na kila moja lina Mungu wake
 
Back
Top Bottom