Wakitaka kumdaka watampa kesi inayohusiana na makosa ya kimtandao, refer kesi ya R v Deo Kisandu
Si ni mchuano wa kiimani?Apo mnachochea moto tu, afande asipokufa kabla ya hio ramadhani huoni kuwa atapata nguvu zaidi ya kudharau dini?
Watu kama yule jamaa ni wa kuwaacha tu.
😳 Ni nini?Hii sidhani kama ni sahihi.
Dini ya uislam ina miongozo yake katika kila jambo. Anyway Mola anajua zaidi.
NB: hiyo sio ahlul badru ewe bujibuji
Time Will TellAisee! Ngoja tusubiri Ramadhan
Usisahau na mgombaAsipokufa itadhihirisha kwamba dini zao Ni ushuzi tu na ntaanza kuabudu bange pamoja na afande. Nahesabu siku kuanzia leo.
HakikaSele ni wakupuuza tu.
Kweli aiseeAheeee afande😁😁 wachawi wanaweza kuchukua nafasi hiyo wakamloga akifa watu watasema ni al badir🤣
Huyu ni nabii sio MsomaliHuyu Msomali ni bogus