Pre GE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

Pre GE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
L
Hata wewe umemsikiliza ndio maana ume comment.
Alipokuwa Chadema hakuwa anavuta bangi?
Alikuwa CUF, akapita CHADEMA kwa muda mfupi akaenda ACT baadae ndio huyo CCM. Nashangaa wanamsikiliza.
 
Hata wewe umemsikiliza ndio maana ume comment.
Alipokuwa Chadema hakuwa anavuta bangi?
CHADEMA alipita tu hakukaa Sana. Alikaa Sana CUF na baadae ACT kabla hajahamia CCM anakotumika kwa Sasa na frustration zake
 
Huyu ndio mwanaume sasa 👏👏popote achukue k vant kubwa nitalipa
Mwanaume kusema upinzani? Na kuwalamba makalio CCM?. Yani amekosa issue zingine ameona aje auseme upinzani. Angalau angeongelea kikotoo ndio ningemuona mwanaume
 
Ndio wapinzani wetu Hawa... Baada ya kujadiri alichoongea watu wanaanza kushanbulia yeye
 
Hatuwezi kubadili mfumo Kwa aina hii ya upinzani.... Kuna muda nawaza kama Hawa jamaa sio matawi ya chama tawala.
Wewe Baki na CCM yako usilishe watu ujinga wako. Wakati wapinzani wapo harrased ni wewe mnafiki ulikuwa unashangilia waendelee kuumizwa, ila Sasa hivi unajifanya kuuliza maswali ya kinafiki. Very stupid.
 
Ndio wapinzani wetu Hawa... Baada ya kujadiri alichoongea watu wanaanza kushanbulia yeye
Hata huelewi maana ya upinzani. Unadhani upinzani ni personalities. Huyo Afande anaongea asichokiishi kubadilisha vyama vitatu vya upinzani na kuhamia CCM. Hana uhalali wa kuongea chochote.
 
Wewe Baki na CCM yako usilishe watu ujinga wako. Wakati wapinzani wapo harrased ni wewe mnafiki ulikuwa unashangilia waendelee kuumizwa, ila Sasa hivi unajifanya kuuliza maswali ya kinafiki. Very stupid.
Sina vinasaba na chama chochote, na Sina Imani kwamba Maisha ya mwafrica yatabadilishwa Kwa box la kura..... Kiufupi CCM naiona kama chadema au Act. Siamini katika vyama vya Siasa ambavyo vinazalisha wanasiasa matajiri na kuliacha kundi kubwa la raia likiishi kwenye dimbwi la umasikini
 
Hata huelewi maana ya upinzani. Unadhani upinzani ni personalities. Huyo Afande anaongea asichokiishi kubadilisha vyama vitatu vya upinzani na kuhamia CCM. Hana uhalali wa kuongea chochote.
Upinzani ni facts.. Afande kaongea facts na atapingwa Kwa facts na sio kushambulia personality au character yake. Kwani hizo bange ni maisha yake aliyochagua.
 
Back
Top Bottom