Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,253
- 1,056
Huyu anafanya bangi ionekane miyeyushoSikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anafanya bangi ionekane miyeyushoSikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA
Hata wewe umemsikiliza ndio maana ume comment.Hivi bado kuna watu wanaomsikiliza Afande Sele?
Punguza ubaguzi. Kwani kuwa bara Kuna shida gani?Chadema kimejaa watu wa bara wengi ambao uwezo wa kiakili hawana , hawana haiba ya uongozi zaidi ya kufikiria pesa.
Alikuwa CUF, akapita CHADEMA kwa muda mfupi akaenda ACT baadae ndio huyo CCM. Nashangaa wanamsikiliza.Hata wewe umemsikiliza ndio maana ume comment.
Alipokuwa Chadema hakuwa anavuta bangi?
Wangapi wanatoka pwani?. Kwenye kamati kuu na Halmashauri kuu CCM .Kiufupi hamna uwezo CCM watu wa pwani kibao ndio maana wana nguvu.
Acha uongo. 2013 alihamia ACT Wazalendo. Wala hajawahi saidia CHADEMA kupata madiwaniKipindi anawasaidia kupata madiwani Morogoro unakumbuka? Nyumbu hana shukrani
... kuna wakati alipopoa mzinga wa nyuki, ... sasa ALIPONG'ATWA KISAWASAWA AKAIBUKA!
View: https://www.youtube.com/watch?v=TjmZFpM95qA&pp=ygUWYWZhbmRlIHNlbGUgaGFuYSBoYXRpYQ%3D%3D
Acha kuongea kinafiki.Hatuwezi kubadili mfumo Kwa aina hii ya upinzani.... Kuna muda nawaza kama Hawa jamaa sio matawi ya chama tawala.
CHADEMA alipita tu hakukaa Sana. Alikaa Sana CUF na baadae ACT kabla hajahamia CCM anakotumika kwa Sasa na frustration zakeHata wewe umemsikiliza ndio maana ume comment.
Alipokuwa Chadema hakuwa anavuta bangi?
Hakuna kiti ni proganda za ki it
Mwanaume kusema upinzani? Na kuwalamba makalio CCM?. Yani amekosa issue zingine ameona aje auseme upinzani. Angalau angeongelea kikotoo ndio ningemuona mwanaumeHuyu ndio mwanaume sasa 👏👏popote achukue k vant kubwa nitalipa
Wewe Baki na CCM yako usilishe watu ujinga wako. Wakati wapinzani wapo harrased ni wewe mnafiki ulikuwa unashangilia waendelee kuumizwa, ila Sasa hivi unajifanya kuuliza maswali ya kinafiki. Very stupid.Hatuwezi kubadili mfumo Kwa aina hii ya upinzani.... Kuna muda nawaza kama Hawa jamaa sio matawi ya chama tawala.
Huyu mvuta bangi si wakumsikiliza.
Hata huelewi maana ya upinzani. Unadhani upinzani ni personalities. Huyo Afande anaongea asichokiishi kubadilisha vyama vitatu vya upinzani na kuhamia CCM. Hana uhalali wa kuongea chochote.Ndio wapinzani wetu Hawa... Baada ya kujadiri alichoongea watu wanaanza kushanbulia yeye
Sina vinasaba na chama chochote, na Sina Imani kwamba Maisha ya mwafrica yatabadilishwa Kwa box la kura..... Kiufupi CCM naiona kama chadema au Act. Siamini katika vyama vya Siasa ambavyo vinazalisha wanasiasa matajiri na kuliacha kundi kubwa la raia likiishi kwenye dimbwi la umasikiniWewe Baki na CCM yako usilishe watu ujinga wako. Wakati wapinzani wapo harrased ni wewe mnafiki ulikuwa unashangilia waendelee kuumizwa, ila Sasa hivi unajifanya kuuliza maswali ya kinafiki. Very stupid.
Upinzani ni facts.. Afande kaongea facts na atapingwa Kwa facts na sio kushambulia personality au character yake. Kwani hizo bange ni maisha yake aliyochagua.Hata huelewi maana ya upinzani. Unadhani upinzani ni personalities. Huyo Afande anaongea asichokiishi kubadilisha vyama vitatu vya upinzani na kuhamia CCM. Hana uhalali wa kuongea chochote.
Ila chupi za zamani nishida ...Bange bange bange msuba View attachment 2979883