Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Kweli, nimesoma michango mingi naona ni uccm wa Sele na uchadema wa Sugu basi... wajinga sana hawa wachangiaji wafata mkumbo..
 
Kweli, nimesoma michango mingi naona ni uccm wa Sele na uchadema wa Sugu basi... wajinga sana hawa wachangiaji wafata mkumbo..
Exactly na kama sijasahau aliyewapatanisha CMG na Sugu alikuwa Nchimbi!.. Lakini mapatano yao hayakuwa kwa maslahi ya Wasanii Vs CMG yalikuwa Sugu Vs Ruge!.. Anti-virus walichukia sana kuona wametumika vibaya na wakati ambapo Sugu angeweza tumia nguvu yake (ubunge) kuwasaidia wao akawasnitch!.
Anti-virus album part 1&2 yawezekana watoto hawaijui humu lakini wanajua kumtetea tu kilofa!.
 
Afande anasema sugu alisnitch kwa million 60
 
Kuhusu hela hilo sijui yawezekana malubaliano ya msamaha jamaa akataka alipwe 60M maana ugomvi wao si ulianzia kwenye dili flani kama sijasahau (la Net) toka USA walimdhulumu Sugu!.
Hivi ulikuwa ni mchongo wa net kumbe
 
Uyu na wehu wachache ndio wanasababisha wavuta bangi tuonekane hatuna maana kabisa.

[emoji23][emoji23] Afande kachanganya mafaili naona yaani yeye ndio kamlipa kodi ya nyumba Sugu.
Sure yani
 
watoto wa mama walioanza kumjua Sugu chadema naona wanamtolea mapovu tu Selemani Msindi
 
Ila Sugu aliwapiga wenzake chenga ya mwili,kweli mwanasiasa atabaki kuwa mwanasiasa,mwisho wa siku huyo kawaacha wenzake.Hivi mwanagu SUMA G vituko uswahilini yupo wapi,maanake kwenye antivirus alikamua sana.
 
"Niko Mikononi mwa Police,
Maisha yangu bado ni Mikosi,
Afandee.....!"
 
Kuhusu hela hilo sijui yawezekana malubaliano ya msamaha jamaa akataka alipwe 60M maana ugomvi wao si ulianzia kwenye dili flani kama sijasahau (la Net) toka USA walimdhulumu Sugu!.
Sasa kama bifu lilianza kwa mambo binafsi ya kudhurumiana waliodhurumiana wakipatana ni usnitch?
 
Kuhusu hela hilo sijui yawezekana malubaliano ya msamaha jamaa akataka alipwe 60M maana ugomvi wao si ulianzia kwenye dili flani kama sijasahau (la Net) toka USA walimdhulumu Sugu!.
Ukweli ambao watu hawapendi kuusikia japo moyoni wanaujua ni Sugu kuwageuka wenzake kisa pesa.
Utamkuta mtu anawatukana mapacha kwa kurudi clouds kuomba msamaha halafu hapo hapo anamsifu sugu.
Sugu aliwatumia wenzake kama daraja kumbe wakati wao wakipigania maslahi ya wasanii yeye alikuwa akiwatumia kwa masrahi binafsi na alipo fanikiwa akaenda kimya kimya bila hata kuwataarifu kwakuwa alikuwa akijua analolifanya siyo sawa ingekuwa saqa angewataarifu.
Sema wafia vyama na die hard fans hawapendi kusikia ukweli huu jamaa hapa alizingua haijalishi ni legend kiasi gani na mziki kautoa wapi ila ndiyo ukweli
 
Words mate!... Nakubaliana na wewe lakini kuna snitches wao hawataki amini kilichotokea ni kosa!.. Sawa na Jide leo arudi omba msamaha utaona maneno yao.
 
Kama C alikuwa na ugomvi na B na A naye ana ugomvi na B migogoro hii miwili ni kutoka two separate course of actions sioni kama kuna usaliti A akiamua kumaliza ugomvi wake na B kama kilichokuwa kimesababishwa ni kudhurumiwa pesa ameombwa msamaha na kulipwa pesa zake.

Ninachojaribu kukiangalia hapa ni chanzo hasa ni nini? Hawa watu hawajawahi kuwa na madai ya pamoja kila mtu alikuwa na sababu zake za kuwachukia clouds hata wangeenda mahakamani Sugu angekuwa na kesi yake na hao waliokuwa wakinyonywa vivyo hivyo kilichowaunganisha ni common enemy na mwisho wa siku hata Ruge angejitokeza na kuwapromise au kuwaengage hao wasanii wengine kuwa ameacha kuwanyonya lakini asikubali kumlipa Sugu alichomdhurumu hao jamaa wangekubali wakamuacha Sugu
 
Sawa naona ndio uwezo wa akili ulipoishia!.. Sihitaji kukuelekeza sana mambo ya mtaani, hauwezani nayo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…