music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Kwanini?Habari hii hazipendwi na team kiba100
Nyingi sana za msingi, Clouds kuna u-Arusha sana pale...Seleman ana points Za msingi sana
Kabisa..! Mond anatisha sanaa...Wasafi ndo wataleta msanii mkubwa na mkali toka nje kuliko Fiest....Clouds toka Ruge aunwe wamesandaa sanaaaNyingi sana za msingi, Clouds kuna u-Arusha sana pale...
lilishasemwa hapa hilo..Nyingi sana za msingi, Clouds kuna u-Arusha sana pale...
Afande asibezwe ana hoja za msingi sana tena sana,CMG wanapaswa kujirekebisha
Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta.
Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds.
Anasema jinsi figisu za Clouds zilivyoua tunzo za Kili Awards ndio namna hiyo kwa namna hiyo Fiesta inaenda kupotea na Wasafi Festival ku-take over.
Mkuu sasa ulitaka atoe mtazamo wa nan?huo ni mtazamo wake
Bdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ileNyingi sana za msingi, Clouds kuna u-Arusha sana pale...
Laiti kama wamiliki wangekuwa wanatokea huko hii hoja ingekuwa na mashiko lakini wamiliki ni watu wa Tarime, HR ni from Kusaga's family. Inaelekea watu wa arusha wanafit na aina ya utangazaji wanaoutaka kwenye vipindi kama xxl, ndo maana nje na xxl wachagga siyo wengi kivleBdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
OkLaiti kama wamiliki wangekuwa wanatokea huko hii hoja ingekuwa na mashiko lakini wamiliki ni watu wa Tarime, HR ni from Kusaga's family. Inaelekea watu wa arusha wanafit na aina ya utangazaji wanaoutaka kwenye vipindi kama xxl, ndo maana nje na xxl wachagga siyo wengi kivle
Za kuvutia semi truck or trekta au nin??Daimondi kamnunulia puli ngapi?