Afande Sele: Clouds hawawezi shindana tena na Wasafi

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876

Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta.

Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds.

Anasema jinsi figisu za Clouds zilivyoua tunzo za Kili Awards ndio namna hiyo kwa namna hiyo Fiesta inaenda kupotea na Wasafi Festival ku-take over.
 
Nafunga belt seat number 1

Mimi nawapenda wote bila kujali mapungufu yao.
 
Nyingi sana za msingi, Clouds kuna u-Arusha sana pale...
Kabisa..! Mond anatisha sanaa...Wasafi ndo wataleta msanii mkubwa na mkali toka nje kuliko Fiest....Clouds toka Ruge aunwe wamesandaa sanaaa
 
Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta.

Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds.

Anasema jinsi figisu za Clouds zilivyoua tunzo za Kili Awards ndio namna hiyo kwa namna hiyo Fiesta inaenda kupotea na Wasafi Festival ku-take over.

Afande asibezwe ana hoja za msingi sana tena sana,CMG wanapaswa kujirekebisha
 
Nyingi sana za msingi, Clouds kuna u-Arusha sana pale...
Bdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
 
Laiti kama wamiliki wangekuwa wanatokea huko hii hoja ingekuwa na mashiko lakini wamiliki ni watu wa Tarime, HR ni from Kusaga's family. Inaelekea watu wa arusha wanafit na aina ya utangazaji wanaoutaka kwenye vipindi kama xxl, ndo maana nje na xxl wachagga siyo wengi kivle
 
Ok
 
Amenikumbusha ugomvi wa Mr. Nice na Dudubaya uliofuatiwa na kifungo kikali kwa Konki hakimu akiwa Ruge.
Ni yeye pekee nadhani amethubutu kuusema ukweli bila kupepesa macho. Sioni kama kuna chuki binafsi ila ninakiona kuueleza umma utayari wake kushiriki.
 
Back
Top Bottom