Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

So tatizo lako wewe ni kukosa mrija wa kulambia asali,
Statement yako inaonyesha wewe ni mtu wa namna gani na kama watanzania wengi ni kama wewe basi hatutaendelea kamwe !!!, Kwahio wewe unaona issue sio wafujaji bali ni wale wanaosema sababu wamekosa mrija ?!!! Nilidhani busara ingekutuma kuangalia maovu na sio kuangalia nani kasema hayo maovu..., hata jambazi akikemea basi asisikilizwe sababu ni jambazi ?
enzi za mwendakuzimu ulikuwa kimya
Na hapa pia unaonyesha vipi unaongea tu bila kufanya due dilligence tafuta uzi zangu / statement zangu kipindi chake..., nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanampiga nyundo ila kwa sasa sioni sababu ya ku-concetrate kwenye past wakati present yenyewe imeoza (hio itakuwa ni wastage of time /resources)
 
Awamu ya hii mikopo ilipozidi walitujibu hata kama wakikopa sana hakuna mwananchi atakae gongewa mlango ili atoe hela alipe

Sasa hivi wameweka tozo kila sehem mishahara inakatwa Kodi zaidi ya Mara 3 na unaambiwa Kama hutaki hamia Burundi

Mimi naamini mwisho upo karibu sana hata paka ni mpole ila ukimpiga ukiwa umemfungia chumbani akakosa pakujitetea ndio utajua ukali wake
 
Hujitambui MTU akiongelea mabaya ya serikali yako unasema ni sukuma gang?
Wangekuwa kweli wanaongelea mabaya kwa nia njema basi wangekuwa wanasikilizwa, lakini wanaongelea mabaya kwasababu ya chuki zao binafsi na usukuma gang
 
Mi nacho jua maisha yamepanda sanaaaa...
Ukiuliza utaambiwa vita kati ya Urusi na Ukrain.
Utaambiwa tunafanya maendeleo...
Ila wale wengine wa ma V8 wana enjoy tuu...

Mi wa chini naonekana sijasoma na sina akili wala plan...
Ila kweli tuwe watulivu tuu...
Siku likiamshwaaa....
Nacho jua kufa ni mara moja tuu paap...

Sasa sijuiiii
 
Kwa hiyo wapambe wa magufuli Tu tozo zinawaumiza,mfumuko wa bei unawaiza?kuwa na akili kidogo
Kinachowaumiza wala sio tozo bali ni chuki zenu binafsi dhidi ya Rais aliyopo madarakani ndio maana mnajitia upofu,Ni kweli wakati wa Magu hakukuwepo na tozo lakini watu wengi walidhulumiwa fedha zao kinguvu na wengine kupotezwa sasa wewe unaona bora wananchi wote tuchangie au wachache wadhulumiwe kwa kuchukuliwa fedha kinguvu huku wakiziakiwa kwa kuitwa mafisadi?
 
Usipanik mkuu, wewe tulia sindano ikuingie upone. Sema tatizo Watanzania hawaji tena kuwapa nchi watu aina ya sukuma gang labda dunia ianze upya.
Kwahiyo mkuu hata chadema pia ni sukuma gang? Ndio unavyomaanisha
 
Tozo zinawaathiri wapambe wa magufuli pekee .wapambe wa mama kama januari na nape hata tuzo hizo haziwahusu
Tozo zinamhusu kila mtu sio kuporwa watu wachache na kwa kuwasingizia kukwepa kodi au mafisadi.
 
Kinachowaumiza wala sio tozo bali ni chuki zenu binafsi dhidi ya Rais aliyopo madarakani ndio maana mnajitia upofu,Ni kweli wakati wa Magu hakukuwepo na tozo lakini watu wengi walidhulumiwa fedha zao kinguvu na wengine kupotezwa sasa wewe unaona bora wananchi wote tuchangie au wachache wadhulumiwe kwa kuchukuliwa fedha kinguvu huku wakiziakiwa kwa kuitwa mafisadi?
Walio dhulumiwa walikuwa drugdealer broo...
Afu mwamba alifanya nchi ikaheshimika hata mataifa ya kigeni.Hakuthubutu kuzurura hovyo hovyoo
 
Sele nae ni chawa tu ila upande aliochagua umevurugika,akijipenyeza tu najua atakuwa mpambe mzuri na hiyo ndio kazi ya chawa unafiki unatumiwa kwa ajili ya tumbo.
 
Walio dhulumiwa walikuwa drugdealer broo...
Afu mwamba alifanya nchi ikaheshimika hata mataifa ya kigeni.Hakuthubutu kuzurura hovyo hovyoo
Kwahiyo Mo naye alikuwa drug dealer halafu wameshindwa kucheza movie vizuri yao vizuri eti katekwa nyala! Unazungumzia nchi kupata heshima wakati ndio alivuruga diplomasia! Na kutosafiri ni kutokana labda na sababu zake binafsi lakini haikuwa na maana yoyote kwa nchi,binafsi nikipima kati ya wema na ubaya naona ubaya ulikuwa mwingi sana sawasawa na kulisifu jambazi liliyopata utajiri kwa kutoa roho za watu na kupora fedha na mali zao.
 
Back
Top Bottom