Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Kwani hii anayokopa mama yenu (failure) italipwa na watu wa Burundi? Huoni kwamba ni bora kulipa mikopo iliyofanya kazi (ya jiwe) kuliko hii ambayo inakopwa na mama yenu bila kufanyiwa kazi.

Wewe ni mmoja wa wajinga.
Wewe ni mmoja wa wahanga wa kifo cha yule mwendakuzimu
 
Magu alikuwa na madhaifu mengi sana na roho mbaya, lakini kwenye kuwajali wananchi wenye hali duni za maisha alikuwa imara kidogo.

Kwasasa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Huwezi saidiwa na masikini, kama ulikuwa hujui basi jua kuwa umasikini ni laana. Kama wewe pia ni masikini basi jitahidi utoke huko badala ya kulia lia
 
Mkuu, kazi kama zinafanyika haihitaji maneno mingi kuzitangaza, zinajitangaza zenyewe.

Kwahiyo hivyo vyote alivyotaja ni propaganda, havikufanyika?

Kipindi cha mzee uliwahi kusafiri ukatembea maeneo tofauti ya Tanzania?

Huyo mzee muacheni apumzike, kwa kazi alizofanya watu kama nyie hamna hadhi hata tu ya kutamka jina lake.

Na niamini mimi, hata nyie msiposifia kazi zake, vizazi vyenu vitakuja kusema.
Aiseee sukuma gang mmechanganyikiwa kabisa baada ya mungu wenu kufa
 
Hata kama ingekuwa ya kukopa,ilionekana ilichofanya. Sasa awamu hii Mwigulu Nchemba alishaifanya nchi kama yake kwa matozo meeeengiiii....hela nyingi zinakusanywa hadharani tena kwa lazima,matumizi yanafanyikia kwenye mahoteli na bar. Stupid me!!!
Yes, you are stupid indeed. Poleni sana kwa kifo cha mungu wenu
 
Binafsi kama nilidanganywa bwawa la nyerere, bombadia, makanikia, fly over, magomen kota, SGR,PANYA Road walikuwa adimu, barabara ya ubungo kwenda kibaha, stend ya MAGUFULI tena live nimeona bila CHENGA basi hayati alikuwa MWANAMAZINGAOMBWE MBOBEZI,ila huyu anayejiita wa awamu ya sita sijaona chochote zaidi ya VIBANDA VYA WALINZI na VYOO vinaleta ukakasi gharama zake na huku atakuamua TOZO ni hatari kuliko HAYATI.
Poleni sana Sukuma gang kwa kufiwa na mungu wenu
 
View attachment 2351368

"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"

"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa, lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."

"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."

"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
Facts kabisa
 
Nakazia hapa: mimi mkazi wa buza sasa taa zinawaka barabarani kama posta na kile kituo cha afya pale kanisani Eeeh bwana kama kweli alikuwa mnyanganyi kama wangese wasemavyo basi MWENYENZI MUNGU AMSAMEHE KWA HAYA NILIYOYASHUHUDIA MIMI MCHIMBA CHUMVI!!
Sasa wewe mchimba chumvi una mchango gani kwa taifa?
 
Kwaiyo bora huyu anayekopa matrillion halafu wanajenga VYOO na vile vibanda vya mlinzi?

Kama Hayati alikosea kujenga fly over, Bwana la nyerere, SGR, kununua bombadia,kutuunganishia umeme kwa elfu 27,tena kipindi kigumu cha CORONA ilitamalaki.

Kweli hayati afai anafaa mjenga vibanda vya WALINZI, unga wa sembe 1kg 2000 na tozo.
Hama nchi au nenda kazikwe pale karibu na kaburi lake
 
View attachment 2351368

"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"

"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa, lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."

"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."

"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
Afande Sele ana nini anachojua zaidi ya kuvuta bangi na kutumbuiza Jukwaani akiwa matako wazi? Mambo ya uchumi waachieni wachumi ndiyo watoe maoni!

Kumjadili huyo mjinga ni upumbavu tu nao
 
Back
Top Bottom