Andazi apotezwe na naniHuyo mvuta bangi makubwa anayotaka labda apotezwe njia ya kwendea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andazi apotezwe na naniHuyo mvuta bangi makubwa anayotaka labda apotezwe njia ya kwendea
Ni bora sele asingemtaja marehemu maana alitukera sanaView attachment 2351368
"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"
"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa, lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."
"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."
"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
==
WOTE WANAOBISHA KUWA CCM NI MAFII [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]WAPIGE LIKE HAPA CHINIView attachment 2351368
"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"
"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa, lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."
"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."
"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
Huwezi kuona lolote maana bado una majonzi ya kufiwa mwaka janaBinafsi kama nilidanganywa bwawa la nyerere, bombadia, makanikia, fly over, magomen kota, SGR,PANYA Road walikuwa adimu, barabara ya ubungo kwenda kibaha, stend ya MAGUFULI tena live nimeona bila CHENGA basi hayati alikuwa MWANAMAZINGAOMBWE MBOBEZI,ila huyu anayejiita wa awamu ya sita sijaona chochote zaidi ya VIBANDA VYA WALINZI na VYOO vinaleta ukakasi gharama zake na huku atakuamua TOZO ni hatari kuliko HAYATI.
Exactly,haya matahira ndiomaana yalikuwa yanabinywa pumbu nakutupwa baharini,maana hayana fadhilaWatanzania waliowengi ni wajinga mama anatakiwa afanye kazi asiwasikilize hawa wapuuzi aina ya afande sele magufuli aliacha hazina ikiwa nyeupe kwa miradi yake ya kipumbavu ambayo MPAKA leo haijaleta faida mfano mandege ya ATC ni hasara tupu na bora alikufa maana hela alishamaliza kwenye kihenge tukawa hatukopesheki tena the only solution aliyoiyona ni kuanza kuteka matajiri na kukwapua hela za watu mbaya zaidi akaingilia MFUMO wa mahakama wa kununua haki (plea bargain) na ili kuondoa ukosoaji akaterorize taifa yoyote aliyemkosoa alikiona cha mtema kuni leo hii Huyo selemani msindi ingekuwa enzi za belzebuul magufuli angeshakuwa misitu ya bigwa au tungi Morogoro huko analiwa na funza hicho ki tv uchwara cha mtandaoni kingepigwa bomu na kuuwawa watu wake mwacheni mama afukie mashimo ya mwehu yule wa chato.
Umerogwa wewe, kwahiyo zile za kwenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni zilikuwa za mungu wenu pia?Amna mtu aliyeporwa pesa yake, ila walinyang'anywa pesa ya serikali.
Wewe uliporwa sh ngapi???
Huwezi kutumia lugha ya kistarabu kwa mvuta bangi anayeichafua serikaliTumia lugha ya kistaarabu bc
Sasa kama unaamini jiwe alikuwa kakuzidi akili je wewe ni nani kama siyo mjinga zaidi yake, bora hata yeye aliamini ushirikina dhidi ya Science sema corona ikasepa nayeKwani hii anayokopa mama yenu (failure) italipwa na watu wa Burundi? Huoni kwamba ni bora kulipa mikopo iliyofanya kazi (ya jiwe) kuliko hii ambayo inakopwa na mama yenu bila kufanyiwa kazi.
Wewe ni mmoja wa wajinga.
Acheni usukuma gangKwa hyo kipindi Cha magu kulikuwa hakuna kulejesha mikopo iliyokopwa kipindi Cha awamu za nyuma? Acha kutuona wa tz niwa 1950.madeni yapo tangu awamu ya kwanza .amekopa na vitu tumeviona na alikuwa analipa mikopo ya nyuma.huyu anakopa+Hela za covid+Hela za tozo Kila mahala lakini hakuna jipya.
Mbona kama wewe ndio taahiraHawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani.
Wao wanaujua ukweli ndomana wamekaa kimya, wewe usiejua endelea kuwasemea.Umerogwa wewe, kwahiyo zile za kwenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni zilikuwa za mungu wenu pia?
Kwamba wale watu laki 5 waliokufa kwa korona kule marekani nao waliamin ushirikina?Sasa kama unaamini jiwe alikuwa kakuzidi akili je wewe ni nani kama siyo mjinga zaidi yake, bora hata yeye aliamini ushirikina dhidi ya Science sema corona ikasepa naye
Tozo zimekuondoa akili kabisaAcheni usukuma gang
TOZO na vibanda vya mlinzi vinaonekana... Hamna jipyaHuwezi kuona lolote maana bado una majonzi ya kufiwa mwaka jana
Umeeleweka GOODgayWao wanaujua ukweli ndomana wamekaa kimya, wewe usiejua endelea kuwasemea.
Kiujumla wengi walioguswa wanafahamu kabisa walistahili kuguswa ndomana wengi wamekaa kimya.
Watekelezaji nani kawateua?Mama ana nia njema na hiyo mikopo yake, shida ni wanatekeleza kauli yake ya kula kwa kujipimia.
Alivyokufa alienda na hela zote alizokopa eti???Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani.