Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! [emoji1787]

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Sawa hata kama propaganda ilitawala, je hukuweza na hadi leo hujaweza kuona miradi iliyopatikana? Kusoma hujui, hata picha unashindwa kutazama..
 
Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Mngekuwa mnaleta ushahidi (statistic na data), sio kuleta mihemko tu. Pesa ya kununua ndege zile haikukopwa popote, ni pesa yetu taslim.
 
Ukumbuki walikuwa wanapora fedha za watu kwenye account zao na bado haikutosha wakaunda sheria ya plea bargain
Amna mtu aliyeporwa pesa yake, ila walinyang'anywa pesa ya serikali.

Wewe uliporwa sh ngapi???
 
kuna kiongozi ambae anajiinua sana hivi sasa lakini kipindi chake kile inasemekana hata mishahara alikua anakopa kutoka kwene benki za kibiashara. mbona. tena inasemekana hata posho za watu wa usalama 'matajiri wa mujini' walikua wanasimamia shoo maana jikoni kulikua muflisi kabisa. au nasema uongo ndg zangu ? 🙂 🙂
 
View attachment 2351368

"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"

"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa.....lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."

"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."

"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"

wosia wa Raisi Magufuli kabla ya kifo chake "nikifa mtanikumbuka.​

Huyu ndie aliyekuwa ni Kiongozi anaye wapenda Masikini walala hoi Waliobakia ni Ma-Rais tu wanakaa kwa muda wao maalum muda ukisha anawekwa Rais mwengine tofauti na kiongozi anaye wapenda na kuwaonea huruma Watu masikini na walala hoi Mungu aiweke Roho yake mahali pema amin.
 
View attachment 2351368

"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"

"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa.....lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."

"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."

"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"

Huu ni uongo kabisa. Kwamba hakuna kinachofanyika tangu mwezi March 2021 hadi hii September 2022? Huu ni upotishaji mkubwa!
 
Hivi yale majaribio ya njia ya reli kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro yameishafanyika, au hadi September ya mwaka ujao?. 🤔
 
Wajaribu kwenye nini wakati hakuna reli wa treni ya umeme
 
Mbona bei ya Mchele haikufika 3000. Kwani saivi kumetokea nini. Au magufuli alikuwa anapora mazao ya wananchi na kuuza Kwa bei ya chini
Magu alikuwa na madhaifu mengi sana na roho mbaya, lakini kwenye kuwajali wananchi wenye hali duni za maisha alikuwa imara kidogo.

Kwasasa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Sema watu wengi ni wajinga, wanadhani ukikopa hakuna kurejesha au Burundi ndiyo watarejesha hiyo mikopo ya Jiwe
Kwani hii anayokopa mama yenu (failure) italipwa na watu wa Burundi? Huoni kwamba ni bora kulipa mikopo iliyofanya kazi (ya jiwe) kuliko hii ambayo inakopwa na mama yenu bila kufanyiwa kazi.

Wewe ni mmoja wa wajinga.
 
Wanakopa alafu wananunua mabasi
 
View attachment 2351368

"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"

"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa.....lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."

"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."

"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
Ukiwa na akili timamu huwezi tumia hata sekunde moja kumsoma au kumsikiliza huyo taahira wa bangi.
 
Back
Top Bottom