Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

View attachment 2351368

"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayo eleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"

"Sasa wewe unakopa afu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa.....lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."

"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."

"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
==
1662729208050.png

Code:
[MEDIA=twitter]1568193533017833478[/MEDIA]
 
Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Sema watu wengi ni wajinga, wanadhani ukikopa hakuna kurejesha au Burundi ndiyo watarejesha hiyo mikopo ya Jiwe.
 
Mama ana nia njema na hiyo mikopo yake, shida ni wanatekeleza kauli yake,ya kula kwa kujipimia.
Hivi kuna mahali popote katika vocobulary yako ambapo anaweza akawa held responsible?

Mambo yakienda sawa hata kama hatambui anasifiwa yakienda kombo sio yeye bali wanaotekeleza ?!!! Last time I checked ana uwezo wa kuwawajibisha wote hao na sio kuhangaika na kuwaparura wanaosema vinginevyo...
 
Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Wewe acha ujinga huwa hamtaki kuambiwa ukweli! Bibi yenu ashashindwa mmebakia kuongea ujinga!
 
Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Kupe
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Alikopa wapi na wapi na shilingi ngapi kwa riba ya asilimia ngapi. Toa tu mfano vinginevyo huo ni uongo mkubwa.
 
Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! 🤣

Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Lini alikiondoa? Zimefunguliwa mpaka taasisi za kuboost mawazi ya mama! Jana nimeona sijui kitu kinaitwa umoja wa watoa huduma ya electronic sijui wanasuport tozo kuwa zimeleta tija kwa nchi
 
Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Miaka 2 kipi kikubwa tunaweza sema amekifanya ambacho ata mtu wa kijinini kabisa atamsifia.niambie 2 tu.
 
Hawa matahira wanashindwa kujua kuwa mikopo aliyokuwa anakopa magufuli Ni ya riba kubwa na ya muda mfupi, yule mzee alichokosea alikuwa sio mkweli,aliwadanganya haya matahira yakahamini kweli miradi Inajengwa kwa fedha za ndani
Sisi matahira hajatudanganya.shida ninyi wenye akili kubwa ndio mnajitekenya na kucheka wenyewe.mikopo+Hela za covid+Hela za zoto alafu hakuna chochote kinachoonekana.hebu niambie mama yenu tangu ameingia kunakitu Gani ambacho hata watu wa vijijini watamsifu navyo.
 
Sema watu wengi ni wajinga, wanadhani ukikopa hakuna kurejesha au Burundi ndiyo watarejesha hiyo mikopo ya Jiwe
Kwa hyo kipindi Cha magu kulikuwa hakuna kulejesha mikopo iliyokopwa kipindi Cha awamu za nyuma? Acha kutuona wa tz niwa 1950.madeni yapo tangu awamu ya kwanza .amekopa na vitu tumeviona na alikuwa analipa mikopo ya nyuma.huyu anakopa+Hela za covid+Hela za tozo Kila mahala lakini hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom