Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

Dhambi nyingine ziepukeni! Hivi si humu humu watu walikuwa wanalalamika hadi mishahara inachelewa? Acheni unafk muende mbinguni,tozo mbaya ndio lakin kwangu ccm ni ile ile hakuna cha magu wala nn? Narudia acha unafk!
 
Hiyo miradi bunge lilishapitisha.
 
We nawe punga tu hayo madarasa feki ndo unakuja kutoa utetezi hapa! Serkali ya mazombi hii imefeli kila sehemu!
 
Pesa za covid na tozo za mwanzo kabisa za tozo
 
Moja ya athari ya kuvuta bangi huwa kutokujua au kuona Duniani Kuna mabadiliko.
 
hao ni wapuuz ndio maana kule kenya alipoenda kumpigia kampen odinga walimpuuza maana walimuona ni mpuuz
Maana wao ndiyo wanaushawishi hapa bongo,inavyojulikana
Au ndiyo wao kazi yao kuwachukulia na kuwajaza watu kwenye matamasha yao tu
Kuzungumza mambo yanayoikabili jamii kimyaaaa

Ova
 
Ile meli mpya ya ziwa victoria imefikia wapi? Daraja la busisi vp limekamilika? msijifiche kwenye vizahanati na vidarasa na hivyo vizahanati wala sio nchi nzima bali waweza kuta ni wilaya 10 tu zimepata hela wilaya zaidi 100 zote hakuna kitu. Mwingine atakuja na ngojera za kidato cha 5 na 6 sasa ni bure, swali ni je kuna mwananchi alishindwa kumpeleka mwanae kidato 5 sababu ya ada? nitajie 10 hapo mtaani kwako.
 

Hela ya COVID19 ilifanya nini Mkuu, au unajitoa ufahamu![emoji2]
 
Tozo zinajulikana matumizi yake maana sisi wananchi tunaona miradi mbalimbali ikijengwa na kuboreshwa, tunaona namna huduma zinavyosogezwa karibu yetu, Tunafurahi kuona tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Mawazo ya kijinga hayo.
Kwahiyo, unataka kutuambia barabara za lami nchi nzima zilizojengwa zilijengwa kwa tozo?, Hospitali kubwa na nyingi zilizojengwa zimejengwa kwa tozo?
Tumeona madaktari wanasoma bure nchi nzima, kulikuwa Kuna tozo?
KIFUPI: Maelezo zaidi yanahitajika kuelezea tozo zinafanya nini. Kwasababu miradi hiyo unayosema ni mkopo wa masharti nafuu wa korona.
Kama hali imekuwa ngumu Serikali ianze kubana matumizi na siyo hutaki kubana matumizi halafu unawatwisha wananchi mzigo mzito.
 
Wewe unashida tu tena za kutosha kila leo uko humu kusifia ujinga wa serkali hii ilofirisika!
Mwenye shida yuko kutafuta vinginevyo atapata wapi mda wa kusifia na kushinda mitandaoni?

Mwisho Serikali ya Samia kamwe haitokuja kufilisika,ingefilisika ingeshasitisha maelfu ya matangazo ya ajira kama unavyoona hapa chini Kutoka ajira portal 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220828-121221.png
    35.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20220828-121230.png
    37.2 KB · Views: 2
Nchi inajengwa kila siku na mahitaji yanaongezeka kila siku kwa kuwa hata watu tunaongezeka kila siku, kwa hiyo Mahitaji ya miaka kadhaa iliyopita huwezi ukilinganisha na leo, Ndio maana kuna vitu tunatakiwa tuchangie wenyewe katika ujenzi wake
 
Dhambi nyingine ziepukeni! Hivi si humu humu watu walikuwa wanalalamika hadi mishahara inachelewa? Acheni unafk muende mbinguni,tozo mbaya ndio lakin kwangu ccm ni ile ile hakuna cha magu wala nn? Narudia acha unafk!
Lini mishahara ilichelewa awamu ya 5? Nani alieanzisha kulipa mishahara trh 22 ya kila mwezi?

Kwanini msitafute namna nzuri tu ya kujitetea na tozo zenu kuliko hizi mfanyazo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…