Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Jibu lipo wazi, "ni ili miradi mikubwa iliyoanzishwa na JPM ikamilike".
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi nyingine ziepukeni! Hivi si humu humu watu walikuwa wanalalamika hadi mishahara inachelewa? Acheni unafk muende mbinguni,tozo mbaya ndio lakin kwangu ccm ni ile ile hakuna cha magu wala nn? Narudia acha unafk!Akili kubwa sana.
TOZO sawa lakini tuone miradi pesa zetu zinapoendea. Na mtu wakutueleza na kutuonyesha mradi huu zimetokana na pesa fulani. Magu alikuwa anatuonyesha kwa vitendo na tukibanwa kwenye tozo tunaridhika.
Nakumbuka kipindi cha Magu pesa mtaani kuanzia tarehe 20 hadi mwisho wa mwezi pesa mtaani zilikuwa zinaonekana ila huyu hatari 27 week end pesa hamna mtaani. Mzunguko wa pesa mtaani hamna,kama kungekuwa na miradi tungeziona pesa mtaani.
Hiyo miradi bunge lilishapitisha.Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Tunazidiwaje? Kwenye upumbavu mnatuzidi siku nyingi Sana.wafuas wa walamba asali nenden shule mnazidiwa na mvuta bangi tena mliyenaye huko ccm ambaye ameonyeshe high intelligence quotient.
We nawe punga tu hayo madarasa feki ndo unakuja kutoa utetezi hapa! Serkali ya mazombi hii imefeli kila sehemu!Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Pesa za covid na tozo za mwanzo kabisa za tozoKwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
😆😆😆😆 Mimi siko Lumumba na hata ningekuwa Lumumba ni sawa tuu maana sipati shida kama wewewapumbavu kama wewe mtaendelea kufugwa hapo lumumba hadi mzeeke wajinga nyinyi na huku kanda ya ziwa tunawasubir na mamayenu 2025 ndo mtajua hamjui
Moja ya athari ya kuvuta bangi huwa kutokujua au kuona Duniani Kuna mabadiliko.Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Maana wao ndiyo wanaushawishi hapa bongo,inavyojulikanahao ni wapuuz ndio maana kule kenya alipoenda kumpigia kampen odinga walimpuuza maana walimuona ni mpuuz
Wewe unashida tu tena za kutosha kila leo uko humu kusifia ujinga wa serkali hii ilofirisika!😆😆😆😆 Mimi siko Lumumba na hata ningekuwa Lumumba ni sawa tuu maana sipati shida kama wewe
Ile meli mpya ya ziwa victoria imefikia wapi? Daraja la busisi vp limekamilika? msijifiche kwenye vizahanati na vidarasa na hivyo vizahanati wala sio nchi nzima bali waweza kuta ni wilaya 10 tu zimepata hela wilaya zaidi 100 zote hakuna kitu. Mwingine atakuja na ngojera za kidato cha 5 na 6 sasa ni bure, swali ni je kuna mwananchi alishindwa kumpeleka mwanae kidato 5 sababu ya ada? nitajie 10 hapo mtaani kwako.Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Mawazo ya kijinga hayo.Tozo zinajulikana matumizi yake maana sisi wananchi tunaona miradi mbalimbali ikijengwa na kuboreshwa, tunaona namna huduma zinavyosogezwa karibu yetu, Tunafurahi kuona tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Mwenye shida yuko kutafuta vinginevyo atapata wapi mda wa kusifia na kushinda mitandaoni?Wewe unashida tu tena za kutosha kila leo uko humu kusifia ujinga wa serkali hii ilofirisika!
Nchi inajengwa kila siku na mahitaji yanaongezeka kila siku kwa kuwa hata watu tunaongezeka kila siku, kwa hiyo Mahitaji ya miaka kadhaa iliyopita huwezi ukilinganisha na leo, Ndio maana kuna vitu tunatakiwa tuchangie wenyewe katika ujenzi wakeMawazo ya kijinga hayo.
Kwahiyo, unataka kutuambia barabara za lami nchi nzima zilizojengwa zilijengwa kwa tozo?, Hospitali kubwa na nyingi zilizojengwa zimejengwa kwa tozo?
Tumeona madaktari wanasoma bure nchi nzima, kulikuwa Kuna tozo?
KIFUPI: Maelezo zaidi yanahitajika kuelezea tozo zinafanya nini. Kwasababu miradi hiyo unayosema ni mkopo wa masharti nafuu wa korona.
Kama hali imekuwa ngumu Serikali ianze kubana matumizi na siyo hutaki kubana matumizi halafu unawatwisha wananchi mzigo mzito.
unaona wewe na mamako nyumban kwenu maana mnalamba asali kupitia tozo
Lini mishahara ilichelewa awamu ya 5? Nani alieanzisha kulipa mishahara trh 22 ya kila mwezi?Dhambi nyingine ziepukeni! Hivi si humu humu watu walikuwa wanalalamika hadi mishahara inachelewa? Acheni unafk muende mbinguni,tozo mbaya ndio lakin kwangu ccm ni ile ile hakuna cha magu wala nn? Narudia acha unafk!
Kwani haya mambo bado yapo?Namhurumia wasije wakamtengua kiuno maana hali ya sasa ni mbaya mno