SGR na Bwawa la Nyerere vipiii????Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Wewe ni wale miongoni mwa watu wenye vichwa vikubwa lakini akili hakuna.Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
[emoji35][emoji35]Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Mara ya mwisho walisema wamekusanya sh ngapi na zimetumika wapi? Lini walitoa hiyo taarifaMbona huwa yanatajwa na kusomwa au unataka yasomwe kila siku utazani majina ya darasa
Kuna youtong 60 zinakuja zpo meliniMwigulu anatakiwa kutuambia tozo anazokusanya kila mwezi ni shilingi ngapi na zinapelekwa kwenye matumizi yapi, ili tupime matumizi ya tozo tunazokatwa kama yanaendana na thamani ya hiyo miradi, anavyokaa kimya maana yake anatuibia.
DuhKwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
😂😂😂😂Kwani hujasikia tumemuongeza Muajentina kabla ya dirisha la usajili kufungwa?
Tangu nchi hii ipate uhuru wake ulishasikia tumesajili raia kutoka nchi aliyozaliwa Diego Maradona na Lionel Messi!! Haya ndiyo matumizi yake sasa!!
Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Na ifahamike pia muda huu huko Singida, kuna uwanja wa kisasa unajengwa kwa aijili ya Singida Big Stars! Yaani Wakandarasi wako Site!!Kuna youtong 60 zinakuja zpo melini
Kivipi ?? Kwa kutoa maoni yake tena kwa staha ??!Namhurumia wasije wakamtengua kiuno maana hali ya sasa ni mbaya mno
Shule gani? Njoo uone wanafunzi wanavokaa chini,walivolundikana darasani, vyoo wanavyotumia vilivyojaa na kuchakaa.Sele Yuko sahihi,Tozo inafanya KAZI gani? Billions of money zinakusanywa kila mwezi,KAZI yake ni nini?Huo umeme unaousemea unasambazwa bure Kwa Wananchi? Kuna watu mtakufufa majeneza yenu yashindwe kubebeka Kwa unafiki mnaofanya mkiwa hai.Sele anapaswa kuungwa mkono,ili viongozi wajue kuwa Wananchi wamechokaKwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Manager wa TRCKivipi ?? Kwa kutoa maoni yake tena kwa staha ??!
Na wewe ni mlamba asali?mbona mnapenda sana kuwa wapiga mapambio?nchi hii kila kitu kimesimama hakuna hatua yoyote tunayopiga,mfano mdogo tu enzi za mwendazake vijijini umeme ulikuwa unasambaa kwa kasi sana kwa sasa hakuna hata nguzo zinazosimikwa.Tozo zinajulikana matumizi yake maana sisi wananchi tunaona miradi mbalimbali ikijengwa na kuboreshwa, tunaona namna huduma zinavyosogezwa karibu yetu, Tunafurahi kuona tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Upo wapi huko ndugu yangu ambako huoni namna mh Rais alivyo tandaza miradi ya maendeleo kila eneo kuanzaia Elimu Afya maji umeme na hata MiundombinuNa wewe ni mlamba asali?mbona mnapenda sana kuwa wapiga mapambio?nchi hii kila kitu kimesimama hakuna hatua yoyote tunayopiga,mfano mdogo tu enzi za mwendazake vijijini umeme ulikuwa unasambaa kwa kasi sana kwa sasa hakuna hata nguzo zinazosimikwa.
Hayo NI yakwako,hayo NI yale unayotaka kuyaamini,NI majibu YAKO..NI jumla ya Mambo uliyoyakusanya katka kichwa chako TOKA unazaliwa...NA ULIAMINISHWA HIVYO NA WAZAZI WAKO.HIVYO SIKUSHANGAI..Usijifanye kama vile umepata uraia wa Tanzania leo,ulijiuliza kwanini 'MKUU aliwaambia kua NAJUA MNAKULA KWENYE MAENEO YENU' akawasihi wasivimbiwe,ulijiuliza kua mtu anaweza akavimbiwa mshahara?
Hukujiuliza alivyowaambia WAJIPIMIE,hivi mshahara WAAJIRIWA wanajipangia?
Acha kudharau kichwa chako bhana,kipe kichwa chako heshima ya kuchanganua sentensi.
Unafiki mbaya SanaWatu wote huenda kwenye ziara za mh Rais wetu mpendwa kwa hiari na upendo mkubwa Sana Tulio nao kwa mh Rais wetu, maana tunajuwa kuwa Rais wetu Ni kiongozi wa kazi muda wote, hivyo tunakuwa tunakwenda kumsikiliza kwa hamu kubwa Sana, Rais wetu Ni mtumishi wa watu anayetutumikia kwa upendo na unyenyekevu mkubwa Sana, Tunampenda na tunaendelea kuwa na Imani na matumaini naye
Tatizo unataka kuamin kile kilichojaza bichwa lako,na siyo uhalisia...We nae kichwa boga kweli kwa hiyo mkuu wa refu za kamba alimanisha walamba asali wanavimbiwa mishahara heeee .sehemu.siriaz usilete maneno maneno ya khanga bhana ee
Nenda kalime hata vibarua...tatizo huna AKILI,umekalili TU..kulakitu NI kuajiriwa,na ndio maana unawaza kuajiriwa kuajiriwa..TAFUTA VIBARUA FANYA,KUSANYA MTAJI WAKO...HUNA AJIRA LAKIN MUDA WOTE UKO JF NA SMARTPHONE YAKO UNALALAMIKA,WEWE NI tabulalasaSiwezi kupoa kirahisirahisi hivyo,huku kwa akili zangu timamu,nashuhudia watu wenye akili kama zangu,wakila keki ya nchi,mimi nikiwa nje ya mfumo,zinakuja fursa mfano za ajira za ualimu,dogo wa 2021,2020,2019 anaajiriwa,na kasoma masomo yaleyale niliyosoma mimi hadi kuhitimu 2016,mimi nipo nje tu ya mfumo,hadi familia yangu inaniwazia vibaya kua labda nilishafeli nikawaficha,ndiyomaana siajiriwi,wanaajiriwa wengine.It pains much,basi tu,nagikisha miaka thelathini na kitu,nipo gheto,naishi kitotokitoto,hadi najiuliza kwanini nilisoma,si ningeishiaga hata form four tu,kuliko kusoma hadi chuo kikuu hata sensa nakosa,inauma sana.
Huyo mafii ni fisadi yupo kupigania mafisadi wenzakeUjinga sana huu,mkuu anasema wale kwa urefu wa kamba zao,hiyo kauli ilibidi isitoke kinywani mwake,tuhurumiwe jamani,maisha magumu sana,TAMISEMI wametutema,SENSA wametutema,koneksheni zinatamalaki,mitaji ndiyo hivyo,halafu kinachouma zaidi ni waliobahatika kuingia kwenye system wanavyozidi kuzitafuna hela,sisi ambao toka miaka ya 2016,tuko mtaani,ajira Hanna,inatuuma sana,basi tu.