Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
SGR na Bwawa la Nyerere vipiii????

Au hiyo miradi ndio kwishney?
 
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika

Huduma gani??? Usijitoe ufahamu zile hela za covid zilienda kujenga hizo shule na hospital,watu wanataka kujua hizi zinafanya nini!!!
 
Ngoja ipite miaka kadhaa hivi kisha tutaona manufaa ya hizi tozo, kwa sasa ni mapema mno kuweza kuona matokeo yake...
 
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Wewe ni wale miongoni mwa watu wenye vichwa vikubwa lakini akili hakuna.
 
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
[emoji35][emoji35]
 
Mwigulu anatakiwa kutuambia tozo anazokusanya kila mwezi ni shilingi ngapi na zinapelekwa kwenye matumizi yapi, ili tupime matumizi ya tozo tunazokatwa kama yanaendana na thamani ya hiyo miradi, anavyokaa kimya maana yake anatuibia.
Kuna youtong 60 zinakuja zpo melini
 
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Duh
 
Kuna youtong 60 zinakuja zpo melini
Na ifahamike pia muda huu huko Singida, kuna uwanja wa kisasa unajengwa kwa aijili ya Singida Big Stars! Yaani Wakandarasi wako Site!!

Hii nchi ngumu sana aisee.
 
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Shule gani? Njoo uone wanafunzi wanavokaa chini,walivolundikana darasani, vyoo wanavyotumia vilivyojaa na kuchakaa.Sele Yuko sahihi,Tozo inafanya KAZI gani? Billions of money zinakusanywa kila mwezi,KAZI yake ni nini?Huo umeme unaousemea unasambazwa bure Kwa Wananchi? Kuna watu mtakufufa majeneza yenu yashindwe kubebeka Kwa unafiki mnaofanya mkiwa hai.Sele anapaswa kuungwa mkono,ili viongozi wajue kuwa Wananchi wamechoka
 
Tozo zinajulikana matumizi yake maana sisi wananchi tunaona miradi mbalimbali ikijengwa na kuboreshwa, tunaona namna huduma zinavyosogezwa karibu yetu, Tunafurahi kuona tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Na wewe ni mlamba asali?mbona mnapenda sana kuwa wapiga mapambio?nchi hii kila kitu kimesimama hakuna hatua yoyote tunayopiga,mfano mdogo tu enzi za mwendazake vijijini umeme ulikuwa unasambaa kwa kasi sana kwa sasa hakuna hata nguzo zinazosimikwa.
 
Upo

Upo wapi huko ndugu yangu ambako huoni namna mh Rais alivyo tandaza miradi ya maendeleo kila eneo kuanzaia Elimu Afya maji umeme na hata Miundombinu
 
Usijifanye kama vile umepata uraia wa Tanzania leo,ulijiuliza kwanini 'MKUU aliwaambia kua NAJUA MNAKULA KWENYE MAENEO YENU' akawasihi wasivimbiwe,ulijiuliza kua mtu anaweza akavimbiwa mshahara?
Hukujiuliza alivyowaambia WAJIPIMIE,hivi mshahara WAAJIRIWA wanajipangia?
Acha kudharau kichwa chako bhana,kipe kichwa chako heshima ya kuchanganua sentensi.
Hayo NI yakwako,hayo NI yale unayotaka kuyaamini,NI majibu YAKO..NI jumla ya Mambo uliyoyakusanya katka kichwa chako TOKA unazaliwa...NA ULIAMINISHWA HIVYO NA WAZAZI WAKO.HIVYO SIKUSHANGAI..
 
Watu wote huenda kwenye ziara za mh Rais wetu mpendwa kwa hiari na upendo mkubwa Sana Tulio nao kwa mh Rais wetu, maana tunajuwa kuwa Rais wetu Ni kiongozi wa kazi muda wote, hivyo tunakuwa tunakwenda kumsikiliza kwa hamu kubwa Sana, Rais wetu Ni mtumishi wa watu anayetutumikia kwa upendo na unyenyekevu mkubwa Sana, Tunampenda na tunaendelea kuwa na Imani na matumaini naye
Unafiki mbaya Sana
 
We nae kichwa boga kweli kwa hiyo mkuu wa refu za kamba alimanisha walamba asali wanavimbiwa mishahara heeee .sehemu.siriaz usilete maneno maneno ya khanga bhana ee
Tatizo unataka kuamin kile kilichojaza bichwa lako,na siyo uhalisia...
 
Siwezi kupoa kirahisirahisi hivyo,huku kwa akili zangu timamu,nashuhudia watu wenye akili kama zangu,wakila keki ya nchi,mimi nikiwa nje ya mfumo,zinakuja fursa mfano za ajira za ualimu,dogo wa 2021,2020,2019 anaajiriwa,na kasoma masomo yaleyale niliyosoma mimi hadi kuhitimu 2016,mimi nipo nje tu ya mfumo,hadi familia yangu inaniwazia vibaya kua labda nilishafeli nikawaficha,ndiyomaana siajiriwi,wanaajiriwa wengine.It pains much,basi tu,nagikisha miaka thelathini na kitu,nipo gheto,naishi kitotokitoto,hadi najiuliza kwanini nilisoma,si ningeishiaga hata form four tu,kuliko kusoma hadi chuo kikuu hata sensa nakosa,inauma sana.
Nenda kalime hata vibarua...tatizo huna AKILI,umekalili TU..kulakitu NI kuajiriwa,na ndio maana unawaza kuajiriwa kuajiriwa..TAFUTA VIBARUA FANYA,KUSANYA MTAJI WAKO...HUNA AJIRA LAKIN MUDA WOTE UKO JF NA SMARTPHONE YAKO UNALALAMIKA,WEWE NI tabulalasa
 
Ujinga sana huu,mkuu anasema wale kwa urefu wa kamba zao,hiyo kauli ilibidi isitoke kinywani mwake,tuhurumiwe jamani,maisha magumu sana,TAMISEMI wametutema,SENSA wametutema,koneksheni zinatamalaki,mitaji ndiyo hivyo,halafu kinachouma zaidi ni waliobahatika kuingia kwenye system wanavyozidi kuzitafuna hela,sisi ambao toka miaka ya 2016,tuko mtaani,ajira Hanna,inatuuma sana,basi tu.
Huyo mafii ni fisadi yupo kupigania mafisadi wenzake
 
Back
Top Bottom