Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
SGR na Bwawa la Nyerere vipiii????Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
Au hiyo miradi ndio kwishney?