"Kuchokoza watu" ndio kufanya nini?
Amevunja sheria? Kama kavunja sheria fuata taratibu zilizowekwa ili aadhibiwe ikithibitika kavunja sheria.
Unapokuwa unapigia kelele pembeni, nje ya taratibu wewe utakuwa unamnyanyasa na kumtisha huyo unayemlalamikia.
Ukioneshwa Mungu akujalie upofu WA maisha?Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Ushauri kuntu sheikh.Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Ingeweza kumfikia hii afande Sirro, ni hakika asingeweza kuiacha ipite tu bila kuifanyia kazi.Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Itakuwa anamuogopaSi angempigia Simu tu kama alivyompigia mbowe
Alìzungumza Kisukuma kwenye kampeniLissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Pumba tupuMagufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Mkuu, pamoja na siasa, wakati mwingine jitahidi kuelewa logic iliyopo katika ujumbe wa mleta mada, kitu ambacho najua unaelewa lakini ukada unakufanya ushindwe kuubeba ukweli. Kifua kinashindwa kuvumilia. Ukishindwa sana unaweza kupita kimya kimya.Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Hii katiba iliyopitwa na wakati ndio mtaji wa ccmKatiba inamruhusu kuendelea kuwa Raisi na kuwa mgombea kwa mpigo
"I wish............"Mkuu umeandika vizuri, IGP mpaka Sasa amejitahidi Sana hata kauli yake ya leo sawa ,ila amejitahidi,huyu mzee anapitia kipindi kiguma ambacho wamekipitia IGP wengine ambao sidhani Kama wapo, ila ivyo binafsi nasema mungu aendelee kumpa hekima ,na akiona vipi basi amuachie mtu mwingine apambane na Hali yake ,vyeo vipo ila mbele ya Safari raha ya moyo mtulivu ,usiokua na stress au hata Kama huna pesa ni flaha tosha ,naongea kwa kifupi ila nikiwa na maana pana mkuu
Lissu hana hadhi ya kuwa Rais.Ikungi kulimshinda ataweza nchi. Pesa za jimbo kule ikungi kazitafuna halafu leo anataka nini. Hapana kwa Lissu, hapana kwa Chama cha Mbowe, hatutaki kugeuzwa saccos.Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Hizi HGL, HKL na PCM ni vitu gani mkuu?Kuna tofauti kubwa kati ya...
Mgombea Urais na Rais
Mropokaji na Mtendaji
HGL, HKL na PCM
Mpenda sifa na Mtu asie jikweza.
Sasa tafuta ujue Lissu yupo kundi gani.
Mtu kasoma HGL anataka kutusumbua sisi. Hebu muambieni Urais sio kubwabwaja tu. Yeye amefanyia jimbo lake nini mpaka leo tumuamini kuwa Rais. Kila siku ana lazimisha kuwa nilazima awe Rais kwani hizo kura anajipigia mwenyewe au yeye ni Mungu mpaka alazimishe watu kuwa yeye ndie Rais iwe isiwe.
Mkumbusheni wanaopiga kura na kuamua ni Watanzania so ASITUFOKEE.
Bado ninatafuta mahali ambapo Lissu amenadi wa BUNGE na MADIWANI wa chama chake akiwa kwenye mikutano yake.
Hapa ndio ninafikia na kuona kuwa huyu mtu hayupo serious kabisa ana umimi mwingi sana ndio maana sioni sera zake zikiwa na mashiko zaidi ya kutuonyesha Ungwini wake tu.
Watanzania hatutaki sheria..... Sheria ibakie kwako na ndugu zako sisi tunataka KIONGOZI anae toa sera zinazotekelezeka.
Retired una akili sana kama Tundu Lissu. Naamini IGP au watu wake ambao wamejaa humu wameona wosia wako na watauzingatia.Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
The worst president ever,tangu kuumbwa kwa Tanganyika,mkabila,mbaguzi,ana chuki na wenye mtazamo tofauti na wake,fisadi,Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Tatizo la kupewa kuongoza hivi vyombo, Kwanza mpaka uwe kada. Na kwenye ukada na ukereketwa umo.Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Kampaisha yaani kuna watu watakuwa hawajui ila watatafuta kujuaTatizo anamuona Lissu katika sura ya mhalifu anayetafutwa kwa kesi zake! Sirro hana sababu ya kumuita Lissu ili wote tusikie na tumuone mkorofi, Lissu angeweza kuitwa kwa faragha kama mgombea. Sirro tumekuona ukimkemea Lissu! Ili kumshusha hadhi yake ya ugombea!.
Ha haa,Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Kama ni rais mbona anagombea urais? Unaweza kugombea cheo ulichonacho?
Msamehe bure huyu ndio mwisho wake wa kungamua mambo umeishia hapoMagufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi