mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
"Kuchokoza watu" ndio kufanya nini?
Amevunja sheria? Kama kavunja sheria fuata taratibu zilizowekwa ili aadhibiwe ikithibitika kavunja sheria.
Unapokuwa unapigia kelele pembeni, nje ya taratibu wewe utakuwa unamnyanyasa na kumtisha huyo unayemlalamikia.
kuchokoza watu hujui ni kufanya nini??
nenda ita mtu mjinga wewe.halafu utamuuliza akueleze umevunja sheria ipi mpaka akusawazishe hiyo kichwa yako.
narudia tena hakuna anayetishwa.