Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

Huyu muongo kabisa unasema unampenda alafu unataka ahudumie baba yako wakati wee sio mke wake!!! Wee inastahili uteseke tuu na i hope jamaa alikula mbususu yako
Redpill. Nakubali.
Kwanza unaanzaje kuhudumia mwanamke ambaye hajabeba jina lako kabisa?
 
Una kuja dar bila pesa acha visingizo sema tu una taka uliwe ila roho ina kuuma .na lazima uliwe tu utake usitake
 
Habari yako,

Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye.

Sasa baada ya mimi kwenda jeshini maana nilipangiwa nikaenda, lakini nilikuwa na simu na tulikuwa tunawasiliana vizuri tu mpaka akaniambia amehamishiwa kikazi mkoa mwingine. Mimi nikamwambia hamna shida, nikienda chuo tutaonana. Mapenzi yakawa yanaendelea kama kawaida. Nilipomaliza jeshi kweli nikaenda chuo Dar es Salaam, lakini baada ya kufika chuo mabadiliko nilianza kuyaona mwenyewe. Mara akae wiki hajanitafuta, mara nimuulize anakuwa na visingizio vingi sana. Namsamehe, inaisha. Yote hayo nilikuwa naona kawaida tu.

Lakini kilichokuja kuniumiza kichwa ni kwamba huyu mwanaume ni wa ajabu sana kwani hayupo tayari kunisaidia kwa pesa yoyote ile. Yeye anachotaka ni nimwambie "nimekumiss" na yeye ajibu "nimekumiss pia" basi maisha yasonge. Mpaka kuna muda najiuliza au shida ni nini kwa sababu yeye haongelei mambo ya mapenzi kabisa na huwa ananikwepa nikileta hizo mada.

Juzi nilimpigia, nikajifanya kumwambia baba kanipigia anaumwa nione atakavyonijibu. Alijibu "pole, atakuwa sawa"... na hajawahi kuniuliza anaendeleaje hata siku moja. Ananikosea sana kwa sababu vocha ninunue mwenyewe, nimpigie, bado hajali kabisa.

Na text zake zote ananiita mke wake. Nimeshajaribu mara kadhaa kumuacha lakini sijui huwa ni kwa nini nashindwa. Unakuta kanikosea yeye lakini mimi ndo namuomba msamaha. Ni mtu wa kukasirika mapema sana.

Nina miaka mitatu nipo naye.

Kwa nyie wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kumuacha mtu unayempenda kweli 😭😭😭 bila kumuambia 😭

Tafadhali naomba unipostie pia naomba ufiche jina langu.
Kumbe na nyie mkiwa rejected mnaumiaa

Anyway we somaa 📖📖📖📚📚
 
Natoa dawa ya kumvuta mpenzi ulio achana nae au mtu aliyepo mbali, atakufuata mwenyewe

dawa hii natoa bure.. Narudia ni BURE Kwa atakaye hitaji

baada ya kurudi huyo mtu. Uje uniambie asante

dawa itakayofuata ni kumfanya akupende hadi ashindwe kwenda kazini na kushindwa kuchepuka nje. Dawa hii inauzwa kwa $€
Mimi ninayo ile ya hatari(kibatari chenye utambi wa sanda)!

Ukichomewa hiyo, hata kama upo Dar na mchumba yupo Kigoma, utakwenda bila kutaka.
 
H
Habari yako,

Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye.

Sasa baada ya mimi kwenda jeshini maana nilipangiwa nikaenda, lakini nilikuwa na simu na tulikuwa tunawasiliana vizuri tu mpaka akaniambia amehamishiwa kikazi mkoa mwingine. Mimi nikamwambia hamna shida, nikienda chuo tutaonana. Mapenzi yakawa yanaendelea kama kawaida. Nilipomaliza jeshi kweli nikaenda chuo Dar es Salaam, lakini baada ya kufika chuo mabadiliko nilianza kuyaona mwenyewe. Mara akae wiki hajanitafuta, mara nimuulize anakuwa na visingizio vingi sana. Namsamehe, inaisha. Yote hayo nilikuwa naona kawaida tu.

Lakini kilichokuja kuniumiza kichwa ni kwamba huyu mwanaume ni wa ajabu sana kwani hayupo tayari kunisaidia kwa pesa yoyote ile. Yeye anachotaka ni nimwambie "nimekumiss" na yeye ajibu "nimekumiss pia" basi maisha yasonge. Mpaka kuna muda najiuliza au shida ni nini kwa sababu yeye haongelei mambo ya mapenzi kabisa na huwa ananikwepa nikileta hizo mada.

Juzi nilimpigia, nikajifanya kumwambia baba kanipigia anaumwa nione atakavyonijibu. Alijibu "pole, atakuwa sawa"... na hajawahi kuniuliza anaendeleaje hata siku moja. Ananikosea sana kwa sababu vocha ninunue mwenyewe, nimpigie, bado hajali kabisa.

Na text zake zote ananiita mke wake. Nimeshajaribu mara kadhaa kumuacha lakini sijui huwa ni kwa nini nashindwa. Unakuta kanikosea yeye lakini mimi ndo namuomba msamaha. Ni mtu wa kukasirika mapema sana.

Nina miaka mitatu nipo naye.

Kwa nyie wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kumuacha mtu unayempenda kweli 😭😭😭 bila kumuambia 😭

Tafadhali naomba unipostie pia naomba ufiche jina langu.
amna mbinubzaidi ya kupata penzi jipya ... Japo penzi jipya sio guaranteed kwamba litadumu unaweza kuumizwa vilevile ...omba mungu akupe mtu sahihi
 
Ukweli ndio huo uduguu, tunajichelewesha sana kukumbatia watu ambao sio sahihi kwetu.!! Inatakiwa turuhusu hatma ifanye kazi yake.
Naishii na hii uduguuu!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkubalie huyo kijana anae kutongoza hapo chuo nae unampotezea fanya kumkubalia, life will be more fun
 
Huyu muongo kabisa unasema unampenda alafu unataka ahudumie baba yako wakati wee sio mke wake!!! Wee inastahili uteseke tuu na i hope jamaa alikula mbususu yako
😀😀😀😀 wanatuonaga mafala sana hawajui tushashtukia janja janja zao kwaiyo na sisi tunakaa kitaalamu
 
Habari yako,

Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye.

Sasa baada ya mimi kwenda jeshini maana nilipangiwa nikaenda, lakini nilikuwa na simu na tulikuwa tunawasiliana vizuri tu mpaka akaniambia amehamishiwa kikazi mkoa mwingine. Mimi nikamwambia hamna shida, nikienda chuo tutaonana. Mapenzi yakawa yanaendelea kama kawaida. Nilipomaliza jeshi kweli nikaenda chuo Dar es Salaam, lakini baada ya kufika chuo mabadiliko nilianza kuyaona mwenyewe. Mara akae wiki hajanitafuta, mara nimuulize anakuwa na visingizio vingi sana. Namsamehe, inaisha. Yote hayo nilikuwa naona kawaida tu.

Lakini kilichokuja kuniumiza kichwa ni kwamba huyu mwanaume ni wa ajabu sana kwani hayupo tayari kunisaidia kwa pesa yoyote ile. Yeye anachotaka ni nimwambie "nimekumiss" na yeye ajibu "nimekumiss pia" basi maisha yasonge. Mpaka kuna muda najiuliza au shida ni nini kwa sababu yeye haongelei mambo ya mapenzi kabisa na huwa ananikwepa nikileta hizo mada.

Juzi nilimpigia, nikajifanya kumwambia baba kanipigia anaumwa nione atakavyonijibu. Alijibu "pole, atakuwa sawa"... na hajawahi kuniuliza anaendeleaje hata siku moja. Ananikosea sana kwa sababu vocha ninunue mwenyewe, nimpigie, bado hajali kabisa.

Na text zake zote ananiita mke wake. Nimeshajaribu mara kadhaa kumuacha lakini sijui huwa ni kwa nini nashindwa. Unakuta kanikosea yeye lakini mimi ndo namuomba msamaha. Ni mtu wa kukasirika mapema sana.

Nina miaka mitatu nipo naye.

Kwa nyie wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kumuacha mtu unayempenda kweli 😭😭😭 bila kumuambia 😭

Tafadhali naomba unipostie pia naomba ufiche jina langu.
Kwa mujibu wa maelezo yake hiyo anayoilalamikia ndiyo ilikuwa aina yao ya mapenzi, so haiwezi kubadilika yenyewe hadi wao wahusika waamue kuibadilisha.

Mapenzi sio kuviziana, ila ni kuishi kwa kupeana mapenzi na kuelekezana. Kwa jinsi alivyokueleza wewe kwa uwazi, ndivyo alipaswa kumweleza mwenzi wake.

Yaani achukue ujumbe huuhuu na autume kwa huyo mpenzi wake, maana ni kurahisi kuboresha penzi kuliko kazi ngumu ya kumwacha anayempenda.

Ova
 
Ni shida na umasikini wako tu ndio unakuweka hapo. Wala hamna mapenz hapo.
Yeye hakupend na wewe wala sio kama unampenda. Akitokea mwenye pesa atakuzoa kirahis tu. Hauko mbal sana na kujiuza
 
Back
Top Bottom