Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sijahitaji mwanaume lakiniUtawezana na mwanaume ambaye hakupi hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijahitaji mwanaume lakiniUtawezana na mwanaume ambaye hakupi hela?
Enhee atakuwa mtaalam kabisa.Eti enhee!?
😂Hapo nae anatafta namna ya kujilipa ila bado anakula za kichwa tu............ na i hope jamaa alikula mbususu yako.
Nimelia sana🤣🤣Analiwa mtu kimasihala hapa
asumaniiii 😂😂😂😂Leta namba ya shemegi atumiwe meseji
"kama umemchoka tuachie sisi tumle mpaka mifupa"
Ndo maana ake!!!Ishi nayo, hakuna kujichelewesha
Acha umalaya, binti, ngonolization haitakusaidia kitu, haikupi ajira,haikupi GPA, kubwa, fanya, masomo kwanza, kuna wanaume Bora mara Mia ya huyo,wenye pesa,ukarimu, utu nk,Habari yako,
Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye.
Sasa baada ya mimi kwenda jeshini maana nilipangiwa nikaenda, lakini nilikuwa na simu na tulikuwa tunawasiliana vizuri tu mpaka akaniambia amehamishiwa kikazi mkoa mwingine. Mimi nikamwambia hamna shida, nikienda chuo tutaonana. Mapenzi yakawa yanaendelea kama kawaida. Nilipomaliza jeshi kweli nikaenda chuo Dar es Salaam, lakini baada ya kufika chuo mabadiliko nilianza kuyaona mwenyewe. Mara akae wiki hajanitafuta, mara nimuulize anakuwa na visingizio vingi sana. Namsamehe, inaisha. Yote hayo nilikuwa naona kawaida tu.
Lakini kilichokuja kuniumiza kichwa ni kwamba huyu mwanaume ni wa ajabu sana kwani hayupo tayari kunisaidia kwa pesa yoyote ile. Yeye anachotaka ni nimwambie "nimekumiss" na yeye ajibu "nimekumiss pia" basi maisha yasonge. Mpaka kuna muda najiuliza au shida ni nini kwa sababu yeye haongelei mambo ya mapenzi kabisa na huwa ananikwepa nikileta hizo mada.
Juzi nilimpigia, nikajifanya kumwambia baba kanipigia anaumwa nione atakavyonijibu. Alijibu "pole, atakuwa sawa"... na hajawahi kuniuliza anaendeleaje hata siku moja. Ananikosea sana kwa sababu vocha ninunue mwenyewe, nimpigie, bado hajali kabisa.
Na text zake zote ananiita mke wake. Nimeshajaribu mara kadhaa kumuacha lakini sijui huwa ni kwa nini nashindwa. Unakuta kanikosea yeye lakini mimi ndo namuomba msamaha. Ni mtu wa kukasirika mapema sana.
Nina miaka mitatu nipo naye.
Kwa nyie wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kumuacha mtu unayempenda kweli 😭😭😭 bila kumuambia 😭
Tafadhali naomba unipostie pia naomba ufiche jina langu.
Bitter truth: Hakuna mwanaume aliye busy kwa mtu ampendaye, the fact is you are not that important kwake!kwa maisha ya sasa huwezi kusema huyu mtu hashiki simu yake basi tu he is not that into you..Na akikupenda hakuonei uchungu.You are still young, may true love find youHabari yako,
Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye.
Sasa baada ya mimi kwenda jeshini maana nilipangiwa nikaenda, lakini nilikuwa na simu na tulikuwa tunawasiliana vizuri tu mpaka akaniambia amehamishiwa kikazi mkoa mwingine. Mimi nikamwambia hamna shida, nikienda chuo tutaonana. Mapenzi yakawa yanaendelea kama kawaida. Nilipomaliza jeshi kweli nikaenda chuo Dar es Salaam, lakini baada ya kufika chuo mabadiliko nilianza kuyaona mwenyewe. Mara akae wiki hajanitafuta, mara nimuulize anakuwa na visingizio vingi sana. Namsamehe, inaisha. Yote hayo nilikuwa naona kawaida tu.
Lakini kilichokuja kuniumiza kichwa ni kwamba huyu mwanaume ni wa ajabu sana kwani hayupo tayari kunisaidia kwa pesa yoyote ile. Yeye anachotaka ni nimwambie "nimekumiss" na yeye ajibu "nimekumiss pia" basi maisha yasonge. Mpaka kuna muda najiuliza au shida ni nini kwa sababu yeye haongelei mambo ya mapenzi kabisa na huwa ananikwepa nikileta hizo mada.
Juzi nilimpigia, nikajifanya kumwambia baba kanipigia anaumwa nione atakavyonijibu. Alijibu "pole, atakuwa sawa"... na hajawahi kuniuliza anaendeleaje hata siku moja. Ananikosea sana kwa sababu vocha ninunue mwenyewe, nimpigie, bado hajali kabisa.
Na text zake zote ananiita mke wake. Nimeshajaribu mara kadhaa kumuacha lakini sijui huwa ni kwa nini nashindwa. Unakuta kanikosea yeye lakini mimi ndo namuomba msamaha. Ni mtu wa kukasirika mapema sana.
Nina miaka mitatu nipo naye.
Kwa nyie wenzangu huwa mnatumia mbinu gani kumuacha mtu unayempenda kweli 😭😭😭 bila kumuambia 😭
Tafadhali naomba unipostie pia naomba ufiche jina langu.
Acha kulia, shida za duniaHabari yako,